Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,954
- 56,074
- Thread starter
- #21
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏PCB shule za JPM sidhani, anaweza chaguliwa HK huko, maana ukisha kuwa na D msala huo.
Ila akipata hata HK huko anabadilisha tu combination anasoma PCB kikubwa nafasi apate ya skul.
Akifika skul lazima atoke na B ya physics huyo ni jembe hakuna wasi wasi