Ushauri: Je, Atasoma PCB?

Ushauri: Je, Atasoma PCB?

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
33,727
Reaction score
55,380
Habari Jf,

Nina kijana wangu kahitimu elimu ya secondary mwaka 2020 kwa ufaulu ufuatao;

Physics-D
B/Mathematics-D
Civics-C
Chemistry-C
Geography-C
History-C
Biology-B
Kiswahili-B
English-B
Div- II:18

Je anaweza soma PCB
 
Anasoma bila shida yoyote. PCB amepata DCB na inakubalika vizuri. Lakini Phy itamsumbua sana A level anaonekana haiwezi au haimudu.
 
Dah! sawa ngoja nimtafutie mwl mzuri wa physics
 
Mwambie karibu sana kwenye ulimwengu wa Physics.

Akija kuelewa japo Escape velocity basi jinsi ya kujua namna Apollo alivyodumbukia kwenye outer space na kuangukia mwezini hata pata shida
 
Hahahaha monyampaa

Duh! mbona mnamtisha
 
Div II ya 18 na C ya Chemistry na D ya Physics? Sidhani. Wasije wakamrusha tu kwenye HGL/HGK
 
Habari Jf,

Nina kijana wangu kahitimu elimu ya secondary mwaka 2020 kwa ufaulu ufuatao;

Physics-D
B/Mathematics-D
Civics-C
Chemistry-C
Geography-C
History-C
Biology-B
Kiswahili-B
English-B
Div- II:18

Je anaweza soma PCB

Kusoma PCB sio tatizo,swali ni je ataweza kupata passmarks za kwenda degree?
 
PCB shule za JPM sidhani, anaweza chaguliwa HK huko, maana ukisha kuwa na D msala huo.

Ila akipata hata HK huko anabadilisha tu combination anasoma PCB kikubwa nafasi apate ya skul.

Akifika skul lazima atoke na B ya physics huyo ni jembe hakuna wasi wasi
 
Back
Top Bottom