Hongereni sana.Mud a na sasa tuna ajira zetu mkuu
if you become desperate for me that will be sexy ha haa..can you?Milale
Ni kweli alivyosema The boss hapo juu! In addition to that hata kama ukibahatika akikupigia, or say eventually when she answers your call, wala usigusie wala kukumbushia ombi. Desperation doesnt look good on anyone, so take a chill pill for then moment and just stay put.
Ndugu wana jf kuna msichana nimetokea kumpenda nikamweleza hisia zangu akanambia nimpe wiki Moja afikilie na leo ndo Siku ya kunipa jibu Langu; tatzo tangu ash hapokei simu yangu na waliomtaka wengi liliwakuta kama hilo Langu la kutopokea simu je huyu bint ana sabab zp za kuwa anafanya hiv? Ushaur wako
if you become desperate for me that will be sexy ha haa..can you?
Ahhhh babu ee, mwanamke shurti udengue!!!!:A S wink:
Ahhhh babu ee, mwanamke shurti udengue!!!!:A S wink:
Ndugu wana jf kuna msichana
nimetokea kumpenda nikamweleza hisia zangu akanambia nimpe wiki Moja
afikilie na leo ndo Siku ya kunipa jibu Langu; tatzo tangu ash hapokei
simu yangu na waliomtaka wengi liliwakuta kama hilo Langu la kutopokea
simu je huyu bint ana sabab zp za kuwa anafanya hiv? Ushaur wako
Ndugu wana jf kuna msichana nimetokea kumpenda nikamweleza hisia zangu akanambia nimpe wiki Moja afikilie na leo ndo Siku ya kunipa jibu Langu; tatzo tangu ash hapokei simu yangu na waliomtaka wengi liliwakuta kama hilo Langu la kutopokea simu je huyu bint ana sabab zp za kuwa anafanya hiv? Ushaur wako
mwalimu wako mpya wa
Kiswahili ni from Zanzibar naona...hapo sauti unaitoelea puani kabisa ha
ha ha
mistake no 1 kukubali kusubiri wiki....mistake no 2.kumpa power ya kukusubirisha wiki..mistake no 3.kupiga simu baada ya wiki......
wiki tu. vijana siku hizi mnapenda chap chap.
si wanahadithiana!! na hilo ndo kosa namba sita.Mistake ya tano alikuwa anapiga simu kuulizia jibu lake.Wakati anatakiwa apate jibu indirect
By the way mkuu ulijuaje kama wengine pia walifanyiwa kama wewe?
Angejua huu ni mwaka wa tatu nakufukuzia, angejifunza kitu...!!