Ushauri jamani

Duh!
20 years!!
Una mpenzi!!
Mpenzi nyumbani wanamjua!!

Mweeh! Tanzania hiihii.Kweli utandawazi umefika hadi kwa wazazi

Mdogo wangu achana na haya mambo kwa sasa,kila kitu kina wakati wake na kwa sasa ni wakati wa wewe kusoma.
 
Ungekuwa ni mdogo wangu nina uhakika kwa miaka hiyo yako 20 Mzee Malafyale angemfukuza huyo mmeo lkn nyie kwenu hadi wanamjua wazazi wako na wanamkubali?
Miaka 20 si ulitakiwa wewe uwe koleji au?
 
Pole mwaya tulia tu utapata aliye mwema kwako
 

Pole sana. Hapo unapoteza muda wako huyo ni mine wa mtu kwako anachepuka tu.
 
Mie ndio maana napenda mwanaume akiniambia anamke tena namkubar kirahc kuliko awa rika la kati waongo sanaa.....ushaur wang tafta mume wa mtu mawazo yote yataisha na utamsahau uyo mwongo wakoo

Duuh !!!!
unamshauri atafute mume wa mtu.........
Yaani awe japo si lazima "chanzo cha kuvunjika ndoa ingine"

Ok tuseme atafute mume wa mtu na uyo mwenye mme unamfikiriaje?
 
Duuh !!!!
unamshauri atafute mume wa mtu.........
Yaani awe japo si lazima "chanzo cha kuvunjika ndoa ingine"

Ok tuseme atafute mume wa mtu na uyo mwenye mme unamfikiriaje?

Mwenye mume atajijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…