Miss lover
Member
- Jul 25, 2014
- 47
- 6
Sasa hapo ushauriwe nini?mbona kila kitu kiko wazi?
Achana nae njoo uwe namimi
Nishaona wanaume wote hamfai tena maana dah
Tatizo bado nampenda na yeye ananipenda sana tena sana
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20 nina mpenz wangu ambaye nampenda sana, na yeye pia ananipenda sana na mpaka nyumbani wameshamjua, na ananihudumia kwa kila kitu ninachotaka. Tulipoanza mahusiano nilimuuliza kama kaoa akakataa ila akasema ana mtoto mmoja, sasa hivi juzi nimeingia fb nikakuta picha yake mkewe na watoto wao wawili, na ahad yetu ni kufunga ndoa na kumbe dini alinidanganya yeye muislam mimi mkristo na alisema yeye mkristo nifanye nini jamani maana hapa nilipo hadi nimeumwa mwenzenu baada ya kujua ni mume wa mtu
Kubali matokeo sababu ni mume wa mtu, ukimganda sana unatafuta matatizo.
Wanasema tahadhari kabla ya hatari
Bora niwe peke yanguKwa hiyo unataka wanawake?
Bora niwe peke yangu
Mmh, point noted: Una miaka 20, kichwa panzi. Hutakosa wa kukufuta machozi hapa.