ushauri jamani

ushauri jamani

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Habari wanajamvi,
jamani ninaombeni ushauri nataka kufungua duka la bidhaa reja reja hapa Dsm. Tatizo sina idea na hiyo biashara najua hapa kuna wataalamu. kwa mtaji wa sh. mil 2.5 je naweza na kuna wanao supply bidhaa natamani sana iwe mbezi ya kimara nawasilisha wadau
 
Back
Top Bottom