Mkuu hiyo mbona simpo,akusindikize mkafunge ndoa Rc,then siku za ibada kila mtu akaabudu kanisani kwao.mimi ni morovian,wife rc,tulifunga ndoa rc na tuna watoto wawili.wote wamebatizwa morovian,and life goes on.
Ndio maana ndoa za bomani zikawepo kwa ajili ya watu kama nyie! Unless otherwise msipotezeane mda.
Mkuu samahani,we una umri gani?Je unaufahamu wowote kuhusu Mungu na Imani?....alafu ni wapi mnapoweza kusoma imenadikwa mtu ataingia peponi kwa dhehebu lake?
Angalizo: Dini au dhehebu mtu halisishwi toka kwa wazazi,ndio maana Mungu katika hukumu yake kila mtu atasimama mwenyewe mbele zake wala si na familia yake,kama unavyokufa vile peke yako wala hatujui uendako wakati huo.
Ushauri: Amosi 3:3 "Je watu wawili waweza kutembea pamoja wasipokua wamepatana?"...ndoa nayo ni safari ya pamoja...tatizo wote mnaamini lakini hamkijui vizuri mnachokiamiani,Uyo binti kweli ni mpentecoste????
Mwisho:Kaeni chini wote someni maandiko vizuri,humo mtaujua ukweli na wote mtaamua kimoja,msikimbilie bomani maana bado kiimani mtakuja kuyumbishana sababa hamkupatana kimoja,pili mtakosa baraka za Muumba
God brought salvation and not Denomination.
Mimi nina binti ambaye tunapendana ila tatizo ni kwamba dini zetu ni tofauti ambapo mi ni Rc huku yeye ni mpentecoste. ushauri nifanyeje mimi kwa upande wangu siwezi kubadili dini kwa vile nifsi yangu pamoja na familia yangu hawatanielewa!.
27yrs, mkuu kuhusu uelewa mzuri cna uhakika maana sijabobea ila huwa ninasikiliza tu mafunendisho kanisani na kusoma biblia mara moja moja!
Utamkuta mtu kakomaa mie bwana ni Mroman catholic wakati sio mroma ni mtanzania!
Worse enough, msukuma! Tena mweusiii! Na hajui hata kirumi! Kha!
Thanks! Ila cjaelewa maana ya neno 'PM'So You are above 18.so kiimani waweza amini dhehebu lolote bila wazazi kukuingilia mtu huamini mwenyewe pasipo kuamuliwa,sasa la maana tafuta ukweli kwenye biblia maana we ni Christian,kaa nae msikilize ufahamu wake kuhusu upande wake anao amini na yeye umpe ukweli kuhusu unavyoamini lakini kipima cha Madhehebu yenu yanavyoamini kiwe NENO,,,usisome neno siku mojamoja huko ndo kuna majibu yote,,Ukitaka ushauri zaidi ni PM.
Hapa hakuna tofauti ya DINI kuna tofauti ya madhehebu. Jipange upya wewe kwani hakuna tofauti ya dini, ningekuelewa iwapo ingekuwa Hindu na Christian la sivyo hakuna mapenzi hapo. Na kama hakuna mapenzi chapa lapa.
Lakini iwapo umefika bei funga ndoa kanisani kwake halafu endelea kusali katika kanisa lako
Ukiona hivyo hujapenda, utaishi na dini yake au yeye mwenyewe?Mimi nina binti ambaye tunapendana ila tatizo ni kwamba dini zetu ni tofauti ambapo mi ni Rc huku yeye ni mpentecoste. Nimejaribu kumshawishi kubadili dini amekataa eti anawaogopa wazazi wake na nafsi yake pia.
Sasa jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi kwa upande wangu siwezi kubadili dini kwa vile nifsi yangu pamoja na familia yangu hawatanielewa!.
Asante!, sasa vp kuhusu ubatizo wa watoto morovian ulikubali ww mwenyewe au ulilazimishwa na yy? na vp ndugu zako hawakulalamika au kukushangaa kweli?
Thanks! Ila cjaelewa maana ya neno 'PM'
PM - President Maprosoo
Mnaweza kufunga ndoa yenu katoliki bila wasi...... Na kila mmoja akabaki na dhehebu lake
Jaman?Hamna shida ya
ndoa hpo.....Ss wote mkafungie k.k.k.t ili kila mmoja awe mshindi!Mm
mrutheri lkn nmekubaliana na bf wngu ntahamia SDA coz nampenda nactak
kumpoteza....Najianda kwenda kunyoa mipanki huo