out of kupenda course from inside ,ni ushauri gani wawezampatia mtu anayetaka kuchagua moja ya hizo course apo in case of market na vitu vingine kama hivyo " nijibu pleaseAs a software engineer, sikushauri ukasome software engineering.
Kwa kuuliza tu swali hili, software engineering is not for you.
This is a field that you have to be in by choice and not by chance.
Kinachokusumbua katika kufanya maamuzi sahihi, no hiyo poor mentality ya kusema Market? Market ya nini? Badilisha mtazamo ndugu, nenda ukasome uje kuajiri vijana wa Diploma, Certificate, Form Six, Form four na Darasa LA Saba. Unawaza ajira haujaanza na chuo?out of kupenda course from inside ,ni ushauri gani wawezampatia mtu anayetaka kuchagua moja ya hizo course apo in case of market na vitu vingine kama hivyo " nijibu please
daah sawa mkuu nimekuelewaKinachokusumbua katika kufanya maamuzi sahihi, no hiyo poor mentality ya kusema Market? Market ya nini? Badilisha mtazamo ndugu, nenda ukasome uje kuajiri vijana wa Diploma, Certificate, Form Six, Form four na Darasa LA Saba. Unawaza ajira haujaanza na chuo?
nashukuru kwa mawazo yakoKinachokusumbua katika kufanya maamuzi sahihi, no hiyo poor mentality ya kusema Market? Market ya nini? Badilisha mtazamo ndugu, nenda ukasome uje kuajiri vijana wa Diploma, Certificate, Form Six, Form four na Darasa LA Saba. Unawaza ajira haujaanza na chuo?
Software mkuu kwa baadae ina ishu sana huku tunakoelekea inalipakama kichwa kinavyosema
nimedahiliwa udom "bachelor of Software Engineering "
pamoja na ARDHI "bachelor of science in Geomatics " jamani niende ipi apo
chondechonde naomba ushauri wako ndugu yangu