Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Kwa wasaa wa umma huu tiba ya upweke ..... Lakini kwa mawazo finyu yanatia dhiki na mhememko moyoni !! Babu alikuwa nao mikoa mitatu !! akaja baba kwa shughuli zake akaanzia pwani na kuishia ziwani !! masikini mie....mla chips!!ZZ yani kipengele hicho unakipenda weyeeee..
Sawa Mwajuma.
Hujambo lakini? Sijawahi kuwa na rafiki aitwaye mwajuma. Unaonaje ukiwa wewe?
Endelea kuvumilia kwa kipindi hicho kigumu, ila mkipata mnachotafuta mwache kazi mfanye yenu
Ila punyeto acha.
Naamini awezi kuwa na mchepuko kwani ni mtu wa mungu na siku zote yupo wazi kwangu ila tatizo umbali ndio naona kero kwangu na kazi amekaa miaka 3 toka amalize chuo hakupata sasa iyo kaipata ni kama bahati kwake na ina lipa vizuri
Mm pia niko Bukoba kikazi nitumie namba ya mke wako kwa ushauri zaidi
Mm pia niko Bukoba kikazi nitumie namba ya mke wako kwa ushauri zaidi
duh kiukweli una moyo lakini hapo jibu ni kufanya maamuzi magumu mkeo aache kazi aje kwako.
Riziki anatoa Mungu ni bora uamue tu wife akufuate ulipo muendeleze maisha. You never know huenda ukafanikiwa zaidi kimaisha, all the best buddy