Habari wakuu,
wasomi ni wakuheshimu sana sana sehemu yoyote pale duniani,
kwani wao ndi think tanker,vyanzo vya maarifa na utatuzi wa changamoto mbali mbali,pia akili zao kufanya kazi haraka haraka,
ila linapokuja suala la kutafuta wakuu wa taasisi/Mashirika Mbali mbali,Wataalam wa nyanja mbali mbali katika Nchi yetu ni vyema wakachaguliwa watu wenye elimu za kawaida lakini wenye uelewa mpana na exposure kubwa ktk eneo hilo,
hebu tujaribu kujifunza hata kwa walioanzisha hizi biashara yaani mabeberu,tuangalie makampuni yao,mfumo wao,uongozi wao na watu wao....Tuachanae na ma academcian,ambao hawana uzoefu ktk eneo husika kwa maana ya biashara zaidi ya darasani,tujifunze mashirika ya kizungu CV zao zikoje?tupeleke watu nje,wakajifunze,wakapate expossure,Au tuwachukue waliokuwa na expossure watatusaidia sana sana nayakubali sana sana Makampuni ya wawekezaji wa Nje...kuanzia juu hadi chini....Pia na uzalendo.
ni Ushauri tuu sio msahafu...