Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

aaaah kiukwel kaka upo sahihii yaan hajawai nichekeshaa yani hana kipaji sema anajaribu kutengeneza jina kwa nguvu
 
kipaji cha kuchekesha si cha kutengeneza au kulazimisha,kuna watu hata ukimuona utacheka au akiongea hata kama anaongea mambo muhimu utacheka,kibongo bongo wengi wana force kuchekesha wengine kujivalisha vitu vya ajabu ilimradi waonekane kama wanachekesha.ndo tatizo
 
Mimi sioni kuwa tu hachekeshi ila siwezi hata kutabasamu nikiangalia hizo episodes zake..
 
Apo kwenye kujenga nyumba tuko pamoja mkuuu

Kwa mpunga alio-upata ungetosha kabisa kuanzisha company yake Real Estate akajenga nyumba akapangisha like now angekuwa mbali hii biashara ni-low lisk na ingekuwa brand kubwa sana na wangepanga watu wakubwa katika nnchi yetu hata wasanii, kutokana na jina lake

Wema Sepetu amelamba mpunga wote
hr

Kwa nini mnapenda kupangia watu maisha? Eti angejenga nyumba........who told you kwamba kujenga nyumba ndo biashara yenye akili?
 
Kama ni kweli m500 kazichezea basi hatofanikiwa tena, kuishi dar kote bdo akawa mshamba kumshobokea wema,poor him
 
Huyu anachokifanya ni sahihi kutoa maneno ya mkulu kwenye hutuba na kupachika upuuzi wake,mbona naona anavuka mipaka au anatafuta kiki ktk defender?
 
Back
Top Bottom