Ushauri: Hivi hili tatizo ninalo mimi tu au wanaume wote?

Usifuate maneno ya hao marafiki zako kua eti wanapiga kavu! hakuna ushahidi wowote kua wanapiga kavu coz tendo la ndoa ni tendo la siri,

Hapa duniani ulikuja kivyako na utaondoka kivyako,endelea kujilinda ili usije ukaharibu maisha yako yote kwa starehe ya madakika tu.
 
Niwaulize kaswali: Unadhani ukimwi unapatikana kwa kusex tu?. Unaweza upata hata wakati ule unafanya romant yaani maswala ya kissing na denda ikatokea hata mkang'atana meno kwa bahati mbaya tayari ukawa nao.
Siku zote dhambi ni dhambi tu haiwezi badirika. Kuepuka yote hayo kuwa na mtu mmoja tu wa pamanent basi.
 
Ni vyema sana! Mimi Nakubaliana kupima Kwanza kabla ya kumla na mara nyingi napima mwenyewe kabla ya kudu akigoma basi hakuna haja ya kugombana Mungu wangu.
 
We vaa kondomu bhana usiwasikilize wavuta bangi eti kavu ndiyo tamu, kwani ni wali ule mpaka ule mkavu.....
We ushaona wapi pogba akicheza pekupeku uwanjani lazima uvae njumu.
 
Back
Top Bottom