Ushauri: Hivi hili tatizo ninalo mimi tu au wanaume wote?

Unavaa kondom? Unanyonya matiti?? Unalamba uke?? Unamtia vidole ??ili hali uko kote uwezekano wa michubuko upo?.

Tumia kondom wakat huo unaachana na mengine yote.

Dawa ni kupima tu mkuu.
 
Kamaa nazo hivo hivo maana siku tu ukija kukutana na mwanamke anakwambia na kondomu anawashwa hivo ule ngozi kwa ngozi utazichukia kondomu maisha yako yote nakwambia. Kitu dry ni tamu na inanoga hadi unahisi kujikuna kichwani
Aisee haya matukio nimekutana nayo sana daaah! Unakuta manzi kakomaa kbs huingii na dubwana lako na hapo umeshanawa tayari unataka kuanza kupiga matonge,utaamua mwenyewe ughaili au ujitoe kafara.
 
Sioni cha kujilaumu wala kuuliza hapo.

Usiige ku**ya kwa tumbo utapasuka ****u

Fanya kile unachoona kina kupa faida
 
wenzio tushajichokea na maisha..so tumeamua kujilipua kwa kupiga kavu kavu..so kama nawe umejichokea na maisha kama sisi try it.
 
pole saana mkuu jua kwenye yote usi dhani uko peke yako ndo dunia hiko hivyo hata mimi baadhi ya vitu najua niko alone, kumbe na fanana na wengine, kingine mimi nilishakua kama wewe hivyo hivyo natumia condom kwa kuogopa mimba nangoma nailikua niki jaribu kavu ile na weka wazungu hao yani bao kwajili ya uoga ila tangu nioe ni kavumwanzo mwisho and am so happy so kaza na condom ukimwi upo kweli kaka. tafuta ndoa pimeni uta enjoy maisha.
 
Back
Top Bottom