Weka picha tuamini.Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.
Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.
But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.
Naombeni ushauri wenu please.
Hata kama n ww ungefanyajeJamaa muhuni sana aisee kala kwanza mzigo ndio kaja na swaga za no bikra,
si angeacha pale pale katifua tifua kila mahala then anakuja kusema angeingiza akatoa then hamna kitu angelianzisha hapo hapoHata kama n ww ungefanyaje
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2]si angeacha pale pale katifua tifua kila mahala then anakuja kusema angeingiza akatoa then hamna kitu angelianzisha hapo hapo

Joanah ayo maswali umeanza lini mpendwaKwanini damu haikutoka?
Tuanzie hapo kwanza
Ya mleta mada ni aina gani mkuumwambie alete reference wapi palipoandikwa kua ukitolewa bikra LAZIMA damu itoke????
kuna aina tofauti za bikira...nikipost hapa nahisi mods wataitoa...
but huyo bwanako hata kale ka basic biology kalimpiga chenga..
Labda huko jkt uliliwa Bila kujitambua wakat wa mausingizi ya mkeshaSina hiyo rekodi lkn nilivomaliza form6 nlienda jkt mi nkawa nahisi hiyo ndo sababu kubwa
Uko jkt ukukamatia fursa kweliSina hiyo rekodi lkn nilivomaliza form6 nlienda jkt mi nkawa nahisi hiyo ndo sababu kubwa
We yako ni ilikua ipi mkuu [emoji4] [emoji4]
Uko jkt ukukamatia fursa kweli
ha ha ha ha umeona enhee?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2]
Kweli jamaaa alitifua tifua kama
Kuku badala achimbe shimo
Tatzo jamaa kakuta kitu inapenya tu bila kukwama na pia damu haijatoka mkuusi angeacha pale pale katifua tifua kila mahala then anakuja kusema angeingiza akatoa then hamna kitu angelianzisha hapo hapo
oteaWe yako ni ilikua ipi mkuu [emoji4] [emoji4]
muulizeYa mleta mada ni aina gani mkuu
Umependeza na cheni kwenye guu lako la left; mambo yetu yalee 🙂)) ulimpatia kwani?Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.
Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.
But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.
Naombeni ushauri wenu please.
Yaan pale pale angeanza kusema hamna bikra hapa umenidanganya, ila kasubir kambinua kushoto kulia, mguu wa shingo mguu wa chaga halafu analalamika nin sasa?Tatzo jamaa kakuta kitu inapenya tu bila kukwama na pia damu haijatoka mkuu