Ushauri Gari Dubai

Mr Bean.

Senior Member
Jan 25, 2015
185
128
Wadau habari zenu. Nafikiria kwenda Dubai kwa ajili ya kununua gari siyo mpya bali used. Please kwa wazoefu wa dubai tafadhali naomba uzoefu wenu hapa.Nataka HummerH2'
 
Ukifika nenda sehemu inaitwa Ras al khor, Ndio utakuta Kila gari utakazo, safari njema
 
Back
Top Bottom