Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Yani haya ni masimulizi kuhusu mwanaume mwenye miaka 54! Alooh!
 
Ukisoma hii utasema unasoma issue za mtu wa miaka 22,
Baba zima la miaka 53 sijui 54 , WEWE!
 
Mbona ukali😂😂😂
Nimeshtuka ujue , imagine mwanaume wa miaka 54 anapigania mwanamke na kublock mtu sijui anaficha msiba wa babake?
Kuna vitu doesn't add up wallahi!
Af mtu takes muda wote huu kuelezea hiyo scenario na kutamani kurudiana naye.

Tufyaaaakwah!
 
Saizi ana miaka 55 maanake sio 54,. And still yuko na childish behaviors na naona bibie Bado anampenda hawezi kuishi bila yeye😂
 
Anajua wewe ni cheap ndio maaana amerudi apige tena aondoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…