UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2013 Posts 942 Reaction score 567 Apr 30, 2017 #1 Habari wana JF, Mwenye uzoefu na vyuo vya Kenya Diploma niliyoitaja ada ipoje, duration, qualification ya kujiunga campus gani itanifaa mimi nina certificate ya ICT. Karibuni bandugu wote.
Habari wana JF, Mwenye uzoefu na vyuo vya Kenya Diploma niliyoitaja ada ipoje, duration, qualification ya kujiunga campus gani itanifaa mimi nina certificate ya ICT. Karibuni bandugu wote.