Kasome Computer Science mkuu, utaendelea kuwa na utu wako pia utaendelea kuwaona binadamu wenzio kama binadamu na sio vingenevyo.
Nenda Animal health ni rahisi sana kujiajiri
Napenda vyote but ktk kuchagua kimoja inahitaji ushauri wa wapendwa kakaKasome kitu roho inapenda...
Nimemaliza
Unamaanishaje hapa kakaKasome Computer Science mkuu, utaendelea kuwa na utu wako pia utaendelea kuwaona binadamu wenzio kama binadamu na sio vingenevyo.