Nimeangalia picha toka walipokuwa wanajiita Boys 2 Men sasa mwenzao kawageuka, ujumbe wa wimbo nafikiri unaendana.Umefikiriaje Mkuu...dah!
Ila kawageukia kweli...
Usanii ni ubunifu hata kampeni ni ubunifu.
Nilifurahishwa sana na ubunifu wa Marlaw wakati wa kampeni za CCM alipobadilisha wimbo wake wa Pii Pii na kuimba CCM wameanza kuwapigia honi wapinzani Pii pii hawaelewani. Nashauri Chadema (Sugu) watumie wimbo wa Jaguar msanii wa Kenya "Binadamu kigeugeu" uwe wa kuhamasisha kampeni. Napendekeza maneno yafuatayo yawemo kwenye huo wimbo,
---JK kigeugeu- kawageuka RACHEL
---Serikari kigeugeu- mgao wa umeme utakuwa historia nk
---CCM kigeugeu- kujivua gamba
---NEC-CCM kigeugeu siku 90 mara 120 nk.
Pia wanaweza kuchagiza..
LOWASSA- wamemgeukia
ROSTAM- wamemgeukia
CHENGE- wamemgeukia
JAIRO- wamemgeukia nk
Bonyeza hapa upate flava ya wimbo"Binadamu kigeugeu"
Wewe unafikiri great thinker lazima awe mbishi kama kina Rejao na Mwita25 wanaopinga kila kitu.Huyu nae ni great thinker?
Mkuu kuna ule wimbo wa Eric Wainaina unaitwa Nchi ya kitu kidogo! unanikosha sana. Kama mie ningekuwa msanii yaani we acha tuu, ningeuboresha mpaka basi. Jamaa kawachana sana wapenda rushwa na aliyoimba sio picha ya Kenya tu, zaidi naona kama kaiimba Tanzania.Usanii ni ubunifu hata kampeni ni ubunifu.
Nilifurahishwa sana na ubunifu wa Marlaw wakati wa kampeni za CCM alipobadilisha wimbo wake wa Pii Pii na kuimba CCM wameanza kuwapigia honi wapinzani Pii pii hawaelewani. Nashauri Chadema (Sugu) watumie wimbo wa Jaguar msanii wa Kenya "Binadamu kigeugeu" uwe wa kuhamasisha kampeni. Napendekeza maneno yafuatayo yawemo kwenye huo wimbo,
---JK kigeugeu- kawageuka RACHEL
---Serikari kigeugeu- mgao wa umeme utakuwa historia nk
---CCM kigeugeu- kujivua gamba
---NEC-CCM kigeugeu siku 90 mara 120 nk.
Pia wanaweza kuchagiza..
LOWASSA- wamemgeukia
ROSTAM- wamemgeukia
CHENGE- wamemgeukia
JAIRO- wamemgeukia nk
Bonyeza hapa upate flava ya wimbo"Binadamu kigeugeu"

Usanii ni ubunifu hata kampeni ni ubunifu.

Nilifurahishwa sana na ubunifu wa Marlaw wakati wa kampeni za CCM alipobadilisha wimbo wake wa Pii Pii na kuimba CCM wameanza kuwapigia honi wapinzani Pii pii hawaelewani. Nashauri Chadema (Sugu) watumie wimbo wa Jaguar msanii wa Kenya "<param" target="_blank">Binadamu kigeugeu" uwe wa kuhamasisha kampeni. Napendekeza maneno yafuatayo yawemo kwenye huo wimbo,

---JK kigeugeu- kawageuka RACHEL

---Serikari kigeugeu- mgao wa umeme utakuwa historia nk

---CCM kigeugeu- kujivua gamba

---NEC-CCM kigeugeu siku 90 mara 120 nk.

Pia wanaweza kuchagiza..

LOWASSA- wamemgeukia

ROSTAM- wamemgeukia

CHENGE- wamemgeukia

JAIRO- wamemgeukia nk

Bonyeza hapa upate flava ya wimbo"<param" target="_blank">Binadamu kigeugeu"
Si lazima kutumia flash back ya viongozi wa Kenya wanaweza ni kutumia bit ya muziki na matukio machache lakini mengi yatokane na matukio ya tanzania,tutakuwa tunawaiga wenzetu wa kenya coz wao washatoa shuting katuni ya huo wimbo ikiwaonyesha viongozi mbalimbali wa kenya!walivyo vigeugeu

Huyu nae ni great thinker?

Nimeangalia picha toka walipokuwa wanajiita Boys 2 Men sasa mwenzao kawageuka, ujumbe wa wimbo nafikiri unaendana.

ikiwa CDM wakitumia huu wimbo na bit zake nafikiri unaweza kulipa kwa hali ivyo sasa, hata Igunga unaweza kulipa vilevile

naomba mwenye contacts za Sugu anipatie niwasiliane naye.
Kuiga si vibaya endapo utaiga mazuri na kuwaachia mabaya yao hata hivyo hizi bit tunazopiga zote za kizungu zimerekodiwa.tutakuwa tunawaiga wenzetu wa kenya coz wao washatoa shuting katuni ya huo wimbo ikiwaonyesha viongozi mbalimbali wa kenya!walivyo vigeugeu

kigeugeu....

Kigeugeu...

WANATUGEUKIA!
Ni mzuri ila malipo yake sasa wakenya wanavyozijua faranga!