Ushauri: CHADEMA tumieni wimbo 'Binadamu kigeugeu' kwenye kampeni

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Usanii ni ubunifu hata kampeni ni ubunifu.

Nilifurahishwa sana na ubunifu wa Marlaw wakati wa kampeni za CCM alipobadilisha wimbo wake wa Pii Pii na kuimba CCM wameanza kuwapigia honi wapinzani Pii pii hawaelewani. Nashauri Chadema (Sugu) watumie wimbo wa Jaguar msanii wa Kenya "Binadamu kigeugeu" uwe wa kuhamasisha kampeni. Napendekeza maneno yafuatayo yawemo kwenye huo wimbo,

---JK kigeugeu- kawageuka RACHEL
---Serikari kigeugeu- mgao wa umeme utakuwa historia nk
---CCM kigeugeu- kujivua gamba
---NEC-CCM kigeugeu siku 90 mara 120 nk.

Pia wanaweza kuchagiza..

LOWASSA- wamemgeukia
ROSTAM- wamemgeukia
CHENGE- wamemgeukia
JAIRO- wamemgeukia nk

Bonyeza hapa upate flava ya wimbo"Binadamu kigeugeu"

Umefikiriaje Mkuu...dah!
Ila kawageukia kweli...
Nimeangalia picha toka walipokuwa wanajiita Boys 2 Men sasa mwenzao kawageuka, ujumbe wa wimbo nafikiri unaendana.
ikiwa CDM wakitumia huu wimbo na bit zake nafikiri unaweza kulipa kwa hali ivyo sasa, hata Igunga unaweza kulipa vilevile
naomba mwenye contacts za Sugu anipatie niwasiliane naye.

Wewe jembe kweli kweli!! CDM wasiposikia ushauri wako nitawashangaa sana.

Usanii ni ubunifu hata kampeni ni ubunifu.

Nilifurahishwa sana na ubunifu wa Marlaw wakati wa kampeni za CCM alipobadilisha wimbo wake wa Pii Pii na kuimba CCM wameanza kuwapigia honi wapinzani Pii pii hawaelewani. Nashauri Chadema (Sugu) watumie wimbo wa Jaguar msanii wa Kenya "Binadamu kigeugeu" uwe wa kuhamasisha kampeni. Napendekeza maneno yafuatayo yawemo kwenye huo wimbo,

---JK kigeugeu- kawageuka RACHEL
---Serikari kigeugeu- mgao wa umeme utakuwa historia nk
---CCM kigeugeu- kujivua gamba
---NEC-CCM kigeugeu siku 90 mara 120 nk.

Pia wanaweza kuchagiza..

LOWASSA- wamemgeukia
ROSTAM- wamemgeukia
CHENGE- wamemgeukia
JAIRO- wamemgeukia nk

Bonyeza hapa upate flava ya wimbo"Binadamu kigeugeu"
Mkuu kuna ule wimbo wa Eric Wainaina unaitwa Nchi ya kitu kidogo! unanikosha sana. Kama mie ningekuwa msanii yaani we acha tuu, ningeuboresha mpaka basi. Jamaa kawachana sana wapenda rushwa na aliyoimba sio picha ya Kenya tu, zaidi naona kama kaiimba Tanzania.

Usanii ni ubunifu hata kampeni ni ubunifu.

Nilifurahishwa sana na ubunifu wa Marlaw wakati wa kampeni za CCM alipobadilisha wimbo wake wa Pii Pii na kuimba CCM wameanza kuwapigia honi wapinzani Pii pii hawaelewani. Nashauri Chadema (Sugu) watumie wimbo wa Jaguar msanii wa Kenya "Binadamu kigeugeu" uwe wa kuhamasisha kampeni. Napendekeza maneno yafuatayo yawemo kwenye huo wimbo,

---JK kigeugeu- kawageuka RACHEL

---Serikari kigeugeu- mgao wa umeme utakuwa historia nk

---CCM kigeugeu- kujivua gamba

---NEC-CCM kigeugeu siku 90 mara 120 nk.

Pia wanaweza kuchagiza..

LOWASSA- wamemgeukia

ROSTAM- wamemgeukia

CHENGE- wamemgeukia

JAIRO- wamemgeukia nk

Bonyeza hapa upate flava ya wimbo"Binadamu kigeugeu"

tutakuwa tunawaiga wenzetu wa kenya coz wao washatoa shuting katuni ya huo wimbo ikiwaonyesha viongozi mbalimbali wa kenya!walivyo vigeugeu

Si lazima kutumia flash back ya viongozi wa Kenya wanaweza ni kutumia bit ya muziki na matukio machache lakini mengi yatokane na matukio ya tanzania,
lakini mwisho wa siku lengo liwe kupeleka ujumbe kwa wahusika na wakati huo huo ikiwa ni burudani tosha kwa wananchi.

Nimeangalia picha toka walipokuwa wanajiita Boys 2 Men sasa mwenzao kawageuka, ujumbe wa wimbo nafikiri unaendana.

ikiwa CDM wakitumia huu wimbo na bit zake nafikiri unaweza kulipa kwa hali ivyo sasa, hata Igunga unaweza kulipa vilevile

naomba mwenye contacts za Sugu anipatie niwasiliane naye.

Mkuu watanzania wamechoka na usanii wa Jk, hawahitaji kuimbiwa. Kura zote kwa chadema

tutakuwa tunawaiga wenzetu wa kenya coz wao washatoa shuting katuni ya huo wimbo ikiwaonyesha viongozi mbalimbali wa kenya!walivyo vigeugeu
Kuiga si vibaya endapo utaiga mazuri na kuwaachia mabaya yao hata hivyo hizi bit tunazopiga zote za kizungu zimerekodiwa.

Yaani huu wimbo nimeusikiliza utadhani Lowassa alimwomba Jaguar kutunga kwa ajili yake hebu usikilize tena..

"Nilimwamini JK kufa na kupona mwisho wake kanigeukia...ee

Wanasiasa vigeugeu..ee JK kigeugeu.. ee rafiki yangu kigeugeu.. ee.."

Back
Top Bottom