Ushauri: CHADEMA tumieni wimbo 'Binadamu kigeugeu' kwenye kampeni

natamani idd mosi ifike leo niende zangu coco kuimba na jaguar wimbo wa kigeugeu.
 
Ni mzuri ila malipo yake sasa wakenya wanavyozijua faranga!
Tatizo la wasanii wetu wanataka wapate pesa bila kuu-market wimbo,
ndio gharama haiepukiki lakini kama mtu ni mwelewa anajua kadri wimbo unavyotangazwa ndivyo unavyofanya mauzo mengi.
 
Usanii ni ubunifu hata kampeni ni ubunifu.

Nilifurahishwa sana na ubunifu wa Marlaw wakati wa kampeni za CCM alipobadilisha wimbo wake wa Pii Pii na kuimba CCM wameanza kuwapigia honi wapinzani Pii pii hawaelewani. Nashauri Chadema (Sugu) watumie wimbo wa Jaguar msanii wa Kenya "Binadamu kigeugeu" uwe wa kuhamasisha kampeni. Napendekeza maneno yafuatayo yawemo kwenye huo wimbo,

---JK kigeugeu- kawageuka RACHEL
---Serikari kigeugeu- mgao wa umeme utakuwa historia nk
---CCM kigeugeu- kujivua gamba
---NEC-CCM kigeugeu siku 90 mara 120 nk.

Pia wanaweza kuchagiza..

LOWASSA- wamemgeukia
ROSTAM- wamemgeukia
CHENGE- wamemgeukia
JAIRO- wamemgeukia nk

Bonyeza hapa upate flava ya wimbo"Binadamu kigeugeu"
Aksante ndugu kwa idea
 
Hapo kwenye nikihustle juu jini ili nivuke boda inakubali kweli. Mzee wa kaya anaomba kuvuka boda lakini wanamshika shati. Mpaka 2015 ni mbali kweli.
 
Kwinini wimbo wako umeanza kufanya kazi Kikwete amejitetea yeye si kigeugeu.
 
Back
Top Bottom