DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Kwakuwa Kwa sasa Chadema inafanyiwa hujuma mbalimbali.
Naomba wawekeze Katika majukwaa ya mitandaoni ,
Hizi Hujuma wanazofanyiwa Chadema zisiwe sababu za wao kurudi Nyuma.
Tone Tone iendelee kama kawaida iwe online na hela inayokusanywa iwe inatolewa taarifa ili kuanagalia Speed na kuboresha.
Sioni sababu ya kupambania Majukwaa ya Traditional ambayo sisiemu wameyafunga.