Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,191
- 138,533
Unadhani ccm viongozi wake ni wajinga kama wale wa chadema?Hakika chama kinayumba.Wiki ijayo inaweza kuwa balaa zaidi.Kwa kuwa CCM wamekuwa na mapenzi sana Dr.Slaa na Inasemekana Dr.Slaa kitengo kimemuahidi bilioni nyingi ajitowe Chadema.Mimi sioni haja ya yote hayo na kuharibu hela.Kwa kuwa mnaona Dr.Slaa ni kiboko ya Lowasa,sasa nashauri tengueni uteuzi wa Magufuli na mpeni Dr.Slaa upeperushaji wa bendera ya CCM.
Mkuu kwani vipi, Dr. anataka kufungasha virago?Hakika chama kinayumba.Wiki ijayo inaweza kuwa balaa zaidi.Kwa kuwa CCM wamekuwa na mapenzi sana Dr.Slaa na Inasemekana Dr.Slaa kitengo kimemuahidi bilioni nyingi ajitowe Chadema.Mimi sioni haja ya yote hayo na kuharibu hela.Kwa kuwa mnaona Dr.Slaa ni kiboko ya Lowasa,sasa nashauri tengueni uteuzi wa Magufuli na mpeni Dr.Slaa upeperushaji wa bendera ya CCM.
Hakika chama kinayumba.Wiki ijayo inaweza kuwa balaa zaidi.Kwa kuwa CCM wamekuwa na mapenzi sana Dr.Slaa na Inasemekana Dr.Slaa kitengo kimemuahidi bilioni nyingi ajitowe Chadema.Mimi sioni haja ya yote hayo na kuharibu hela.Kwa kuwa mnaona Dr.Slaa ni kiboko ya Lowasa,sasa nashauri tengueni uteuzi wa Magufuli na mpeni Dr.Slaa upeperushaji wa bendera ya CCM.

Unadhani ccm viongozi wake ni wajinga kama wale wa chadema?
Nani anayeona Dk. Slaa ni kiboko ya Magufuli?
Chadema,wameyumba,wapo skina dr wametwanga hadi hapo kilipo,lskini mtu anatoka huko straight kuutaka urais jamani,viongozi wa chadema mnafanya hayo ili kuimarisha nafasi zenu za ubunge,msana mnajua masalia ya el majimboni yatakuja kuunga mkono.lakini suala la el kuchukua gomu zs uraisi na akakiptishwa ni aibu kwa nchi za inje,nshogu wenzetu wstsona hayuna commitment na kuwaletea watu maendeleo.ni usanii.juzi mtu anasutwa kuwa ni mwizi,leo anaitwa awe raisi,tendo hilo halipo kabisa ughaibuni,watatuona wahuni,na sielewi mnasumbuliwa,