Nmesikia watajenga fry-over hapo ila sielewi cz hata maandalizi sijayaona
Nmesikia watajenga fry-over hapo ila sielewi cz hata maandalizi sijayaona
kikaango cha juuFry over ndo makitu gani tena?
kesho simama hapo kibanda cha mkaa nitakupa lift ya pikipikiMimi ndiyo nimefika hapa posta mpya tokea saa 0645 alfajiri nipo kituoni pale Mbezi Kibanda cha mkaa hakuna hata gari iliyokuwa inatokea,ni majanga plus majanga
mkuu mbona kitambo nimeshafanya udukuzi kichwaniumenyoa kiduku? Kama hujanyoa hatupandi.
Nmesikia watajenga fry-over hapo ila sielewi cz hata maandalizi sijayaona