Ushauri: Binti wa kiarabu ananipenda lakini mama yake hanitaki

Acha uduanzi wewe unazani huyu ni wale mimama ya uswekeni kumpigiapigia hovyo huyu anastara zake ukimuona tu kwanza sizani kama utaweza ongea nae ww
Bac hujiamin shekh na ndio maana ana kunyima binti yake , yaan huwezi kum face mama wa msichana unaye taman kumiliki ? Ww shekh una stahiki kunyimwa huyo manzi wa kiarabu sasa ushauri wangu ww sakanya mbele mbele
 
Nishawahi kumface na mimi ni mmoja ya watu wanaojiamini sana ila sasa kama ulikuwa haujui hawa watu jamii ya kiarabu hasa wakina mama wanakuwaga wakali sana wanaposimamia misimamo yao ndo mana ukaona hata kwenye text nimekuwa mpole wanapokuwa wanaongea kwa mihemko ni heri kuwa mpole tu
 
Hahaha
Ngoja nikuulize maswali utajijibu mwenyewe huko uliko
1. Una miliki gari ya kutembelea ?
2. Una miliki mjengo ?
3. una stock assets zozote ?
Hayo maswali matatu yata justify maamuzi ya familia ya kiarabu kukunyima binti yao
 
Kivipi mkuu mbona unanitisha sasa
Sasa ambacho huelewi ni nini?!!
Waarabu huwa wana oana wenyewe kea wenyewe. Mama kesha kutahadharisha kuwa hilo jambo lita kugharinu kama ni pesa au maisha yako,wewe mwenyewe utajiongeza.
Kifupi anza kujizoesha kuishi mbali na huyo Binti wa watu
 
Daa bro hiyo kitu ngumu sana kwa sasa
 
Binti wa Kiarabu yeye anasemaje?
Huwa wanakuwa watamu sana hao mabinti. Na ile rangi kuna maeneo huwa yanakuwa pinki kabisa.
Pole sana maana najua hao watoto walivyo watamu.
 
Binti wa Kiarabu yeye anasemaje?
Huwa wanakuwa watamu sana hao mabinti. Na ile rangi kuna maeneo huwa yanakuwa pinki kabisa.
Pole sana maana najua hao watoto walivyo watamu.
Daa we acha tu broo hivi viumbe tukisimulia hapa ambao hawajawahi kuwa nao karibu hawatoelewa kabisa
 
Mliachana vipi sasa alikupiga kibuti au
Ni kama kinachomkuta jamaa tu, hawa wenzetu ni ngumu sana kukubali kuoa binti yao na hizi rangi zetu za kinjekitile ngwale na dini hii ya myahudi.
Mimi sikuwa hata na wazo la kutaka kuoa, miaka minne ilitosha sana kula raha na huyu binti.
Niliwahi ambiwa na mzee wangu, usipende kujitutumua kama uwezo wako mdogo.
Niliona kabisa hapa siwezi kuoa na kulazimisha nikawa nakula mzigo tu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom