seckymose
Member
- Dec 29, 2016
- 87
- 47
Habari zenu wakuu,
wakuu naomba ushauri au mwongozo kutoka kwa watu wenye uelewa au uzoefu wa mambo ya madini, nina eneo langu kama ekari 40 morogoro na nina eneo jingine kama ekari 30 huko ruangwa na nina mawazo ya kuwa mchimbaji wa madini ktk
siku za usoni ,Eneo lenyewe kuna madini ya rubi na dhahabu(nasema hivyo kwa sababu kuna watu wanachimba kiholelaholela na huwa wanapata kiasi fulani, naomba muongozo kwenu (1) wa namna ya kupata vibali mbalimbali kutoka wizara husika ili sije ingia matatizoni na serikali hii ya haka kazi tu,
(2) naomba msaada japo kwa uchache mni mambo gani ya kuzingatia ktk biashara hii ya madini( i wanna measur the level of risk).
(3) kama kuna mtu anaweza kuniunganisha na watu ambao tayari wapo ktk biashara hii itakuwa njema zaidi ili niweze kujifunza toka kwao.
naombeni mwongo wenu jamani