Uwe na Tin namba , vibari na mafunzo maalum toka TPRI, TFRA, TOSC kama unaweka na vya mifugo upate na mafunzo toka VET. Mafunzo ni Ghalama Sana. Vibali TFRA na Tosc ni bure, TPRI na Vet ni pesa unalipa .baada ya hapo Unaenda TRA upate tax clearance ili ukapate Resen ya biashara halmashauri uliyopo.