Nimepata eneo nzuri jirani na barabara ya Dodoma. ukarabati utachukua kariba m8. Kuna eneo ĺa baa, jiko, chips, store na kwa kukaa hadi 100 wanakaa. Kodi lak7 je nauliza waziefu itajilipa au nitapoteza hela

Tunashauriwa kufikiria vikubwa lakini kwa hilo hapana, bora ingekuwa ni site yako kwa umiliki unaweza take lisk hata kwa miaka 10 lakini kukodi mmmmmh!