Nakubaliana na huyu hii amount kwa family house na rate ya kodi kwa mahali hapo. Lakini pia kama ni investment tu, huitaji baada ya muda kuja kuishi wewe mwenyewe, unaweza jenga apartments simple not ensuite, jaribu kuchora simple design unayotaka na uwaonyeshe wataalamu wa hapa bongo watakupa cost inayohitajika, au ushauri wa design nyingine, keeping in mind viwango vya kodi walivyokutajia hapo juu. Ila option ya ofisi sahau kwa hilo eneo lako halifai.kama wewe mwenyewe utasimamia hiyo project (ujenzi) katika kila process unaweza kujenga Nzumba nzuri (family house) na kutokana na hilo eneo unaweza kupata 1m kwa mwezi. kwa maaana hiyo fwedha yako inaweza kurudi baada ya miaka 10 na faida itafata baadae, na lazima ujue ndani ya hiyo miaka kumi lazima kutakuwa na renovations za hapa na pale,
,
Kiwanja cha 500sqm ni kidogo sana kwa apartments ..yaani kutakuwa hakuna hata sehemu ya bustani au parking n.k. Mimi kwa kushauri naona ujenge ofisi ..anza na mbili (kwa pesa uliyokuwa nayo). Usijiingize kwenye project kubwa halafu ukaishiwa na pesa....utabakia kuwa na gofu ambalo haliingizi pesa yoyote. Halafu ofisi ..nyumba zinabaki kuwa kwenye hali nzuri kwa muda mrefu
Watu wanatafuta sana ofisi nje ya mjini..na hapo kwako ni IDEAL
Yebo Yebo,
Kituko ana mawazo mazuri, yazingatie, ........otherwise muone mzee wa shamba....Mzee wa Mitiki!!
hebu mcheki Mzee wa Mitiki hapa kwenye hii link anaitwa "Malila".......chukua muda uisome hiyo mada ina mawazo mengi mazuri........kazi kwako
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/28270-mtaji-10-million-9.html
Mh? Hiyo ni kwa mwaka au kwa mwezi?Ndio Mr. Yebo yebo,
Mimi ni Architect, (Msanifu majengo).
Naomba nami nichangie kidogo.
Kwa mtaji wa 200ml, si mdogo sana itategemea na design ya ramani utakayopendekeza kuchorewa. Hii itategemea aina ya apartment utakoyopendekeza.
ktk jengo hilo hilo unaweza ukaweka apartment za aina tatu tofauti au mbili.
apartment (vyumba 2, kimoja chaweza kuwa na choo, Dining, jiko, sebule , choo na kastoo. )
Mfano kama apartment zina ukubwa wa mita za eneo 40 hadi 80, nikichukua wastani apartment moja itakuwa na s.q.m 60,
Kwa sasa hapa Dar (Tz) 1 sqm=~350$ , au Tshs. 400,000/= ikiwa ni gharama za materials ,kuchora na wataalamu wote ikimjumlisha pia mjenzi.
Tshs. 400,000x60 sqm = Tshs. 24,000,000mil kwa apartment moja roughly.
Kwa hiyo apartment moja yaweza kugharimu kama 24mil. hivi.
Ktk Mil. 200 /24.0 mil. ~=8
apartment 8, labda tano za 500$ na tatu ni za 600$ rent.
Mwaka wa kwanza utapata kama ifuatavyo
5 apartments x 500$ = 2,500$
3 apartments x 600$ = 1,800$
JUMLA = 4,300$ kwa mwaka wa kwanza
Unaweza kuendeleana Mchanganuo zaidi.
architectmadai@yahoo.com
Yeboyebo
fanya hivi...
Kwa maeneo kilipo kiwanja kwa sasa hapo Morocco/Ursino South ....development ya 100m ni ndogo sana....fanya longterm leasing (around 20-30yrs)na developers wakubwa ambao wanaweza kuwekeza around 1bilion then kulingana na mtakavyoelewana wanaweza kukupa 50% ya investment upfront,...the remaining say baada ya 10yrs kwa installments....baada ya miaka hiyo kuisha inakuwa property yako....au mnaingia mkataba mwingine...in the meantime,hiyo advance waliyokupa unaendeleza sehemu nyingine...this is exactly what am doing right now thru my company SiteSet RealEstate Agency (kiwanja changu kilikuwa pale karibu na sayansi knyama)...kama unataka maelezo zaidi tuwasiliane