Ushauri: Baba yangu katafuna hela yangu ya kujengea

huku kwetu

Senior Member
Sep 7, 2016
145
194
Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni mtu wa kipato cha chini sana tu so nikawa nimejidunduliza nikanunua kiwanja nikafyatua tofari. Baada ya muda kupita kidogo nikapata hela tena sasa siko huko kiliko kiwanja (nyumbani) kwa hiyo nikaamua nimtumie baba kusimamia ujenzi nikamtumia hela halafu nikamwonesha ramani ya nyumba.

Yule mzee ni mjuaji sana akabadili ramani akaweka mramani wake ambao sina hata uwezo nao akasema tutasaidia . Hela niliyompatia kama Milioni kadhaa zimeishia kwenye msingi hamna alichofanya tofari kamaliza, nilimuuliza anasema usijali mimi nitasimamia siku zinazidi kwenda hamna kinachoendelea.

Nishaurini jamani nisimuhusishe tena nitafute tu mtu mwingine asimamie Yan nimnyanganye juu kwa juu au nifanyajee asante
 
Hivi hukuwahi kusikia kwamba usimuamini yeyote hata watu wako wa karibu kusimamia kitu chako chochote ambacho inabidi upitishie pesa nyingi mikononi mwao?
😳

Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni mtu wa kipato cha chini sana tu so nikawa nimejidunduliza nikanunua kiwanja nikafyatua tofari. Baada ya muda kupita kidogo nikapata hela tena sasa siko huko kiliko kiwanja (nyumbani) kwa hiyo nikaamua nimtumie baba kusimamia ujenzi nikamtumia hela halafu nikamwonesha ramani ya nyumba.

Yule mzee ni mjuaji sana akabadili ramani akaweka mramani wake ambao sina hata uwezo nao akasema tutasaidia . Hela niliyompatia kama Milioni kadhaa zimeishia kwenye msingi hamna alichofanya tofari kamaliza, nilimuuliza anasema usijali mimi nitasimamia siku zinazidi kwenda hamna kinachoendelea.

Nishaurini jamani nisimuhusishe tena nitafute tu mtu mwingine asimamie Yan nimnyanganye juu kwa juu au nifanyajee asante
 
Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni mtu wa kipato cha chini sana tu so nikawa nimejidunduliza nikanunua kiwanja nikafyatua tofari. Baada ya muda kupita kidogo nikapata hela tena sasa siko huko kiliko kiwanja (nyumbani) kwa hiyo nikaamua nimtumie baba kusimamia ujenzi nikamtumia hela halafu nikamwonesha ramani ya nyumba.

Yule mzee ni mjuaji sana akabadili ramani akaweka mramani wake ambao sina hata uwezo nao akasema tutasaidia . Hela niliyompatia kama Milioni kadhaa zimeishia kwenye msingi hamna alichofanya tofari kamaliza, nilimuuliza anasema usijali mimi nitasimamia siku zinazidi kwenda hamna kinachoendelea.

Nishaurini jamani nisimuhusishe tena nitafute tu mtu mwingine asimamie Yan nimnyanganye juu kwa juu au nifanyajee asante

Tafuta hela nyingine mpe atafune mpaka achoke wengine tunatamani wazazi wetu wangekuwa hai angalau wafurahie matunda yao lkn ndo hivyo tena

Mpe hela baba yako wewe na tafuta pesaaa
 
Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni mtu wa kipato cha chini sana tu so nikawa nimejidunduliza nikanunua kiwanja nikafyatua tofari. Baada ya muda kupita kidogo nikapata hela tena sasa siko huko kiliko kiwanja (nyumbani) kwa hiyo nikaamua nimtumie baba kusimamia ujenzi nikamtumia hela halafu nikamwonesha ramani ya nyumba.

Yule mzee ni mjuaji sana akabadili ramani akaweka mramani wake ambao sina hata uwezo nao akasema tutasaidia . Hela niliyompatia kama Milioni kadhaa zimeishia kwenye msingi hamna alichofanya tofari kamaliza, nilimuuliza anasema usijali mimi nitasimamia siku zinazidi kwenda hamna kinachoendelea.

Nishaurini jamani nisimuhusishe tena nitafute tu mtu mwingine asimamie Yan nimnyanganye juu kwa juu au nifanyajee asante
Mkuu ukifuatilia kwa makini huyo Mzee pesa zako kahonga sehemu kwa kibinti kibichi kabisa..,,
Sasa ,Wewe Fanya upelelezi ukimgunduwa huyo binti anayemaliza hizo pesa zako alizochukuwa baba yako,,
mnyatie umtafune,,itakuwa mshamalizana na huyo Mzee kuhusu pesa hizo..
Mtafunie huyo kimada wake..na hawezi kwenda popote,,, kushitaki,,
 
Back
Top Bottom