Ushauri: Anataka kuzaa na mimi hali ya kuwa ana mke

yani mie nikionaga post kama hizi huwa nacheka sana
maana haiwezekani wewe kuelewa wakati huna kipato ...yani huwezi kuelewa jua hilo
ila kama unaona malez ya mtoto ni kitu easy au ushuzi..basi jamba ndo utajua harufu yake..
inshort kama huna kipato usitage,,mwanzo will be simple ila wanaume hatupo ivo,,tunapenda deal na direct cost za mtoto..kama chakula, clinic, nguo sijui mazawadi,,,ila vi indirect cost mara sijui wipes mara cotton bud tuna assume wewe kama mama can afford,,sasa huna kazi utakinga mkono kila kitu??mwishoe utachokwa tuu na utaanza kuwa kero kwa huyo jamaa eventually single mom..
jamaa ana say kwako koz huna kazi..pata kazi pata kipato uone kama nawe hujawa decision maker ..ina raha yake wewe acha ufala..
 
hutaki habari za mume wa mtu kweli na mpaka mmefikia kwenye kutaka kuzaa???????? you are not serious,

kimbia toka hapo alipokunasa haraka sana otherwise...............



cc Smart911 the great king
 
Back
Top Bottom