Ushauri: Anataka amuoe mpenzi wake wa zamani

Kama huyo mwanamke hajaolewa na anamtoto na bado wanapendana si kosa kwao kuoana ili walee watoto wao,ukiangalia huyo ndio alikuwa destined kuwa mkewe na ndio maana hadi leo jamaa kagundua makosa yake,huyo kaka yenu mwingine anasababu gani kukataa yule asioe?Na mwisho wa siku atakeyeishi na mke ni anayetaka kuoa sio huyo kaka yenu mwingine,la msingi jamaa asikilize moyo wake unavyomtuma,
Tatizo itakuwa kama anandoa ya kanisani na huyo mzazi mwenzie,ila kama hawana haina shida,na nahisi kaka yako aligundua na aliona kadanganywa kuhusu mimba kwani kama kweli alikuwa na mimba kwanini azae baada ya mwaka?
Uongo katika hayo mambo huwa unaleta mwisho mbaya kwani jamaa alioa mtu ambaye hakuwa chaguo lake.
 
Mimi nashauri aache pupa za kuoa maana ni suala linalohitaji kutuliza akili...
tokea mwanzo amekuwa na pupa ikamcost, sasa aache hizo pupa atulie afanye maamuzi upya maana anaweza kwenda kwa huyo wa awali akaishia kuumizwa tena.

binadamu hubadilika tabia, ndani ya kipindi kifupi mwanamke huyo aliyeachwa anaweza akawa amedevelop tabia mpya
 


asante mkuu , mawazo yenu ni muhimu
 
Waoane tu as long as wamekubaliana na kupendana
bila shaka wataishi kwa adabu kwakua walishajifunza makosa
 
Swala la kuzaa nje sio tatizo..tena wamekutana wote wana watt..hapo ngoma droo..labda ili kujiridhisha aulize kuhusu baba wa mtt..kwa nn hawako pamoja,waliachana vipi na mahusiano yao yakoje kwa sasa
 



asante mkuu, anadai tangu mwaka juzi amekuwa akimuomba msamaha maana mara nyingi kama nlivyoandika mkewe walikuwa hawakai muda ni timbwili.

'WAZO ZURI AACHE PUPA' thanx again
 
DCM, pondiboy,
chakushangaza huyo ex wake kampa masharti mawili ila moja kuu 1. ahakikishe wazazi wake wamekubaliana na hlo swala
2. sharti kuu -- ahakikishe 2/3 ya mali zisizo hamishika & nyingine amwachie huyo mzazi mwezie kwa maandishi kabla hajajitambulisha kwao.( hapo cjui bro atakubalikweli)
watachuma zingine eti
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa nawashangaa wote wanaowashangaa kushangaa????
 

daah huyu mwanamke ana akili sana na ndo maana huyo kaka kaligundua hilo na kuungama makosa yake, ni wanawake wachache Wa dizain hii
 
Last edited by a moderator:
Hiyo paragraph ya mwisho, second line baada ya mabano editi kidogo hilo neno hapo.
Kaka yako akiona mtagombana.
 
Reactions: amu

hilo sharti kuu ni la kipuuzi sana!....lina uhusiano gani na mapenzi yao hadi liwe kuu?
 
Last edited by a moderator:
Muulizeni vzuri huyo broo wenu kwann anaweka kipingamizi,huenda alishamtinginyua shemeji yake.
 

Hayo masharti wala hayana msingi wowote na hatasikilizwa na mtu, cha msingi ni kuhakikisha kuwa malezi ya watoto wao yanawekwa bayana. Kama ni bro wako atachukuwa jukumu la kubeba watoto ili aunganishe familia na huyo ex ambaye naye ana mtoto mimi naona ni fair tu.

Lakini asiwe na papara, hayo maamuzi ya kuoa haraka haraka ndio yatazidi kumuumiza. Atulie na kutafakari kwanza, amalize saga lake na mzazi mwenzake...baada ya hapo ndio afikirie kuhusu huyo anayetaka kumuoa.
 
Last edited by a moderator:


wazo zuri , asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…