anakitamani kifo Huyo,Habari wanajukwaa?
Mke wangu mwenye umri wa miaka 26 aligundulika ana saratani ya matiti akaanza kupatiwa dozi za chemotherapy, amepata mizunguko 8 na hatimaye uvimbe uliokuwepo kwenye ziwa umepotea kabisa.
Tangu anavyoanza tiba ya chemo madaktari walisema mwisho itabidi kuondoa ziwa kabisa ili kutoruhusu vimelea kujirudia tena. Ila mgonjwa hataki kuondoa ziwa.
Je hii inaweza kuja kuwa na hatari kiasi gani hapo mbeleni?
Kwamba ikitokea kansa ikajirudia basi matokeo yake ya kupona ama hata huo uvimbe mwingine kusikia dawa ni mdogo sana hivyo hatari ni kubwa sana..Ahsante ila sijaelewa vizuri
Soon Tutazika.Habari wanajukwaa?
Mke wangu mwenye umri wa miaka 26 aligundulika ana saratani ya matiti akaanza kupatiwa dozi za chemotherapy, amepata mizunguko 8 na hatimaye uvimbe uliokuwepo kwenye ziwa umepotea kabisa.
Tangu anavyoanza tiba ya chemo madaktari walisema mwisho itabidi kuondoa ziwa kabisa ili kutoruhusu vimelea kujirudia tena. Ila mgonjwa hataki kuondoa ziwa.
Je hii inaweza kuja kuwa na hatari kiasi gani hapo mbeleni?
Mkuu kama ataweza hamna haja ya kukata ziwa lake atafute miziz ya maua flani hivi yanakuwa yanatoa maua ya rangi tofautitfauti kna meupe,pink,mekundu nk mashuleni mara nyingi yapo na ktk bustan hizi akichemsha yale kwa wki kama tatu ....4 anywe ktwa mara 3 af akacheki tena hospitalHabari wanajukwaa?