Ushauri: Amemuambia akichepuka atamuua

Hakika atamuuwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanini anapata wasiwasi na anabaki njia panda, kwani ni lazima achepuke ili aishi? Kama bado hajaamua kuoa anataka mambo mengine ya nini ajipe taabu? Lakini kama ameamua au anapanga ndoa na huyo aliyenaye anamuona ndiye mtu sahihi ya nini apate wasiwasi. Akiona kama akiwa na huyo bibie atalazimika kuchepuka basi mshauri kuwa bado hajapata mtu sahihi aendelee kutafuta hadi pale atakaposikia kitisho kama hicho asishtuke.
 
Nimemshauri amsome kwa vitendo na siyo maneno, ahsanteni kwa mawazo yenu
 
Mnachukulia serious ishu za kawaida hzo tushaambiwa sana na tukachepuka sana kila mwanamke adui yake nmba moja ni mchepuko hzo kauli ni normal kuua sio rahis kama mnavyodhani
 
Kwahiyo kama wewe ungemshauri nini Mkuu?
Hapo nakula kwanza halafu namwambia sijajiandaa kufa mapema hivyo akatafute saizi yake ukizingatia unaweza teleza kwa kasi na shetani wa Gudume akakupitia ukaishia kuuliwa bure[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wanaume wa Dar kwa mikwara, usikute huyu jamaa ni tende halwa tu. Dushe halisimami wala nini lakini anachimba mkwara kujifanya ni mwanamme wa kweli asiyesikiliza bogo fleva na taarab, kumbe ni wale wale kina Steve Nyerere na Martin Kadinda.
 
Mnachukulia serious ishu za kawaida hzo tushaambiwa sana na tukachepuka sana kila mwanamke adui yake nmba moja ni mchepuko hzo kauli ni normal kuua sio rahis kama mnavyodhani
Hahah aya bana kwaiyo ushakuwaga sugu kwa kuchepuka!
 
Asichepuke tu.
Kama ni wewe mwenyewe na umetumia mlango wa nyuma kuupata mtazamo wetu nakushauri USICHEPUKE TU.
 
Hatujui upande wa pili ukoje katika shida aiongeleayo huyo binti.Jibu zuri ni KUTOCHEPUKA TU.
 
Yani hii ni experience ya ngazi ya mkurugenzi aisee
 
Wewe uliwahi kuambiwa hivyo Mkuu?
Mbona hakuna shida hapo? Kwangu mm sioni tatizo 100% binti yupo sahihi kbsa kwasbb wahenga walisema kila abiria achunge mzigo wake.
Nakumbuka kipindi kile nipo nyumbani kuna shamba la mahindi la jirani yetu kuna baadhi ya mahindi yalikuwa yanawekea hirizi, kibuyu na madawa madawa hivi. Unafikiri km ww ni mwizi wa mahindi unahisi kitu gani kitatokea?
Huyo mwanamke nimempenda bure. Wengine mna bahati sana. Huyu ndiye wa kuoa. Mwambie jamaa achee kukojoe nje ovyo ovyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…