The Hidden
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 246
- 102
Sio mchezo kaka, mimi nilikuwa bubu ghafla nikashikwa kigugumizi coz sipendagi kukurupuka katika kushaurikazi kweli kweli.
AseehKimtokacho MTU ndicho kilichopo rohoni, sasa Jamaa anasubiri nini kumkimbiza akatafute killers wenzie
Kwahiyo kama wewe ungemshauri nini Mkuu?Huyo binti ni gas kabisa yaani anaongea upupu kama huo akidhani atamtisha,ilitosha kumwambia sipendi ucheat sio mpaka anaahidi kukuua kabisa. Yaani hawa wadudu sijui VP hapo kama ndo mtihani kashafeli,mwanamke hana hats chembe ya moyo wa huruma. Unajua kuna maneno hutegemei yatoke kwa MTU unayetarajia uishi nae milele. Hata kama utani hapana aisee
Wewe uliwahi kuambiwa hivyo Mkuu?Wanawake wengi wa kujilinda mkuu ,nahapo siku akichepuka .
Maajabu nikwamba ,mwanamke ataishia kumpiga vimakofi kifuani ,baadae atajikimbiza chumban anaanza kulia huku amekumbatia mto akingoja uje umguse mabegan umwambie " Am sorry baby , yaan hata sikufanya kitu maana mashine haikusimama kabisa"[emoji23][emoji23]
Hapo atakuangalia moyon anacheka ,mdomon anakuambia "kwendraaaaa zako weeeeewe kweli usisimamishe?[emoji23]" ...ukikazia hapo hapo ,anakuambia yameisha .
Hamna ni kama wanawake haturidhiki na mume mmoja maishaAliekuambia mwanaume anaridhika na mwanamke mmoja n nani?
Hakuna kiumbe chochote cha kike chini ya jua kilicho umbwa na tamaa ya viumbe vya kiume zaidi ya kimoja at a time, lakini hakuna kiumbe chochote cha kiume kinacho ridhika ama kilicho umbwa kwaajili ya kiumbe cha kike kimoja,Hamna ni kama wanawake haturidhiki na mume mmoja maisha