Ukisema chuo kwa haraka haraka watu wanajua chuo cha kusomea shahada! Sema umpeleke vyuo vya ufundi na taaluma zinakazompatia ujuzi katika ngazi ya cheti au diploma! Baaasii!
Division two kwenda A level haina uhakika 💯 kwasababu wengi wana Division one! Angepata Division one ungekuwa na uhakika! Subiri mpaka post za advance zitoke ndo ufanye uhamuzi sahihi!
leylaomary