Ushauri aconfirm chuo kipi? IFM vs ITA

Ushauri aconfirm chuo kipi? IFM vs ITA

Persie

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
188
Reaction score
15
Amechaguliwa Account IFM na Tax ITA institute of tax administration cha TRA aende wap ila anampango pia wa kusoma CPA
 
Accountacy IFM...kama ana connection TRA asome hyo Tax
 
Kama ana plan za kusoma CPA baade mwambie aende IFM ila ITA kama ni mvivu sana wa kushika daftari anapotea semista ya kwanza tu chali.
 
Naomba ushauri ipi bora kwa mwanangu kati ya hivi vyuo viwili na progam zao, UDSM-BCom in Tourism and Hospitality and Management na udom-bcom in Finance?
 
Kama ana plan za kusoma CPA baade mwambie aende IFM ila ITA kama ni mvivu sana wa kushika daftari anapotea semista ya kwanza tu chali.
Kila chuo lazima ukaze .
labda hivi chuo janjajanja.
 
Back
Top Bottom