Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

Hakuna comb inayobalance. Labda asubir bahat yake

Div III Point 24 Aende P.C.B??? Acha Utani Mkuu
Kivipi asiende mkuu mimi nimejibi kutokana na vigezo vyao mkuu sijajitungia kichwani mkuu kwani barua yao ipo kuhusu vigezo ,namba moja inasema awe na credit kuanzia masomo matatu kati ya saba lkn dini au mosomo mengine ya ziada yasiwe miongoni mwa hizo, mbili inasema awe na point 3 hadi 10 ktk mosomo matatu ya tahasusi Lkn F Isewe miongoni mwa hizo sasa kutokana na vigezo hivyo CCD ni point kumi .Hivyo sifa za kwenda kidato cha tano kusomea PCB anazo
 
Umejibu vizuri sana lakini hawezi kuchaguliwa post zikitoka, yeye aende tu private akajichagulie combination maana hana F
 
VP huyu mwenye, civ D, hist D, geo D, kisw D, eng C, phy F, b/math F, chem D, bio c
Comb gani au Chuo private anaweza kupata
 
Kivipi na kwa nini asichaguliwe mkuu?
 
VP huyu mwenye, civ D, hist D, geo D, kisw D, eng C, phy F, b/math F
Huyo advance asahau mkuu kama timu hata majimaji hawawezi kimsajili achague kozi itakayo mfaa aende chuo tu.Hivyo ndio ninavyojua mimi labda kama kuna wengine wanaelewa zaidi mambo hayo wanaweza kukusaidia mkuu.
 
VP huyu mwenye, civ D, hist D, geo D, kisw D, eng C, phy F, b/math F, chem D, bio c
Comb gani au Chuo private anaweza kupata
This has to be 4.26 i think,on government he/she won't be selected, but as for the private i he/she may get one.... Otherwise college will be the best...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom