<br />Lazima gap la aliye nacho na asiye nacho lionekane!!
<br />
Hufai katika forum hii.
<br />Lazima gap la aliye nacho na asiye nacho lionekane!!
unaonekana kua na wivu wa utajiri wao.
<br />hivi nyie ndugu zetu mnapofiwa na jamaa yenu mnaamua kwenda kumuhifadhi mochwali kwa muda wa wiki mbili mpaka tatu ili mshone suti au mtengeneze t-shirt nakuweka picha ya mfiwa na mbaya zaidi mmeanza na ka mtindo ka kupeleka maiti saloon. Duh!! Mnaboa kwa kweli. Kaburi mnalijengea mnanunua na grovz kwa ajili ya kushikia tu udongo saa ya kuzika kisha kaburi linafunikwa kwa mfuniko??? huyo jamaa aliekufa anaenda kuoza tu kama mnampenda si mge endelea kuishi nae ndani kwenu?? Mazishi yenu yanaboa sana enyi wenye vijisenti uchwala.
Wivuuuuuuuuuu! yaani mtu kufiwa halafu aonewe wivu? anachoongea Prof ni sahihi, misiba mingine hadi mnasahau na mnakwenda kazini kama kawaida ukirudi ndo unakumbuka kumbe kuna msiba jirani yangu? hadi mnaofariji mnaishiwa maneno ya faraja na kwa kwli huzuni inaisha kabisa, hii ipo hasa ndugu zangu wachaga msiba wiki mbili wanaandaa mazishi!Dah huu wivu jamani dah, kwanini maiti isienziwe ? , utajibeba na wivu wako acha wenye nazo wawaenzi wanaowapenda!