Ushaona Mti wa Kike au Kiume weye?

Kuna member mmoja anatumia hii kama avatar yake
 
Duuuh no comment

kushangaa kwako tu kwatosha...nakumbuka nikiwa mdogo tulikua na mtindo wa kulala chini na kutizama mawingu, mara nyingi tulikuwa tunaona shapes za ajabu nyingine kama sura za watu, maumbo ya magari n.k
 
mmmh!hii miti ndo inatumika kutengenezea dawa za kuongeza nguvu!
 
Uwa nawashangaa hawa Atheists (Kiranga na wenzake) kwamba hakuna 'a master designer'. Siamini kuwa sanaa hii imetokea just by chance. There should be The Master DESIGNER behind this!
 
Uwa nawashangaa hawa Atheists (Kiranga na wenzake) kwamba hakuna 'a master designer'. Siamini kuwa sanaa hii imetokea just by chance. There should be The Master DESIGNER behind this!

mkubwa nahisi huu umekuwa shaped na mtu toka mdogo...in issue ya master design its true angalia seli ya binadam au sisimizi alivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…