Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
Sio wote wamestarabika sema wanajua kutumia teknolojia tuuu. Ila zero.Kwa hiki kizazi cha nyoka ni wachache sana watakao kuelewa kwa jinsia zote nashindwa kuelewa tumeelimika na kustaarabika kuliko mababu na mabibi zetu ila tunafanya mambo ya kipuuzi karne mbili kabla ya mababu zetu.
Ni upuuzi uliozidiii na umbea.Nakuelewa kaka sana,imekua tabu sasa ,watu wanadai ndoa watu wawili ila siku hizi ndoa ni ya jamii nzima.aibu nyingi,kabla hujaona pungufu la mwenzio jilaumu kwanini umeolewa au kuoa tatizo na wasiokua na shida walikuepo
Duuu hiyo hatari ukiibiwa unalalamika.#4.kumpa boksa mfanyakazi wa ndani azifue
Yes inakera sana kwa wanawake umemsingizia. Sio ustarabu.No.3 ni mengi hayo yanashindwa kupiga sound yanaishia kujifarij kwa kusema uongo .......
Hii ni funga kazi.KEEP YOUR PERSONAL THINGS PERSONAL
4. Unakuta mwanamke yupo ndani ya ndoa anafichua siri na ujinga wa mumewe. Fikiria hao unaowaambia wanamtizamaje mumeo na wanakuonaje wewe ulioolewa na mjinga. Huo ni upuuzi. Umeona kasoro zirekebishe. Hata mwanaume akiwa na tabia hizi hana tofauti nawa kike mwanaume kamili husimamia ndoa yake.
Zingine ni zipi ambazo nimesahau ambazo watu hupost bila kujua madhara yake ya baadae?
Asante kwa kusoma.Hii ni funga kazi.
Asante i like you more...Mleta mada nimekupenda bureee kwa hili somo muhimu ni u kweli mtupuu...be blessed
Kimekua kilio kaniibia.Mwanamke unakuta yuko saluni au huko kwenye vikao na mashoga zake anaanza kujishebedua eti ooh Mme wangu kiboko kwenye mambo yetu Yale ,hajui kuna watu wanalilia hao wanaume anakuja kushtuka shoga ake wa karibu kashambeba mmewe juu juu anaanza kutoa macho oooh nimeibiwa Mme wangu....ushamba
Ulimbukeni.mtu amezaa mtoto sijui wa kwanza alafu kila siku ni kumtangaza mtoto wangu kafanya hivi kafanya vile, au kututangazia demu wako au man wako anakupenda na kukuwaza au kukujali saaana wakati penzi lenu bado ni changa, utafikiri wengine hawajawahi kupendwa (alafu wakasalitiwa anyway), huu ni upuuzi kwa kweli
Hukuelewa thats why.. nashukuru leo umeelewa na asante kwa kusoma.Angalau leo umekua @Mleta mada.
Asante kwa kusoma.Hii ni funga kazi.