Hii ni fikra potofu chief, tunaishi kwa malengo. Lengo la kwenda chuo ni kusoma mpaka ugraduate. Ikitokea uka disco si jambo la kulichekea, kwa kuwa umepoteza muda na rasilimali nyingi sana. Kudisco unapoenda chuo haitakiwi kuwa option, iache ije tu kama matokeo baada ya jitihada za kufaulu kushindwa na si kama kitu Kilichotarajiwa.
Mi nina rafiki waliodisco japo walikuja kufanikiwa, lakini muda waliopoteza ni irreplaceable.