USHAMBA....MSAADA

USHAMBA....MSAADA

Zimmermann

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
4,045
Reaction score
3,603
Nimepita kariakoo jamaa kaniuzia haka ka dubwasha ka kunyolea....kna charge yake.
Tatizo ni sioni sehemu ya ku switch on
 

Attachments

  • 20260109_002318.mp4
    64.9 MB
Nimepita kariakoo jamaa kaniuzia haka ka dubwasha ka kunyolea....kna charge yake.
Tatizo ni sioni sehemu ya ku switch on
chukua maelezo weka ktk AI watakuonesha njia ya kukswasha tumia hata AI ya whatsapp
 
Kibonyeze hicho kibatani
Screenshot_20260109_090054.jpg
 
Back
Top Bottom