Ushakula hili Tunda?

tunda la mti wa katikati...
 
Duniani kuna maajabu, mti huo unaotoa matunda yenye umbo la binadamu huko nchini Thailand na kuzaa kila baada ya miaka 20. Haya ndiyo maajabu ya dunia, ukistaajabu ya Musa utaona ya mti huu wa maajabu.
 
Unaitwaje huo mti au matunda yake? Nstaka niutafute maana nyie hamchelewi kutupa viini macho humu
 
Ndio maana nikasema hizo ni graphics art, hakuna tunda la na na hii, hiyo link kwanza haipo
 
Duniani kuna maajabu, mti huo unaotoa matunda yenye umbo la binadamu huko nchini Thailand na kuzaa kila baada ya miaka 20. Haya ndiyo maajabu ya dunia, ukistaajabu ya Musa utaona ya mti huu wa maajabu.

Umeeleza vizuri kabisa like ni halali yako
 
Tatizo haiji km link ambayo ni bolded, imakuja km sentence ya kawsida inayohitaji ku-type
 
Haya yangekuwa dili sana
 
kama ungekuwa unayauza watej wako wakuu unajua angekuwa nani na nani..

Ha!ha!ha! ngoja nisitaje majina ila nitaje njisia yao itakuwa ya kiume.......(....)ngoja nikimbie na nielekee Dodoma naona kunatukio la picha Mh wa nchi anakutana na wale jamaa wa nje ya Bunge nipotee kidogo nitarudi kuwataja majina yao wateja wangu
 
mbona upo chumbani kwangu huu mti ila hauhitaji mwanga wa jua kukua
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…