Ushahuri kuhusu mke wangu

Makamu mwenyekiti wa shirikisho la wapuuzi
 
Imefika pahala alinitamkia Toka mdomoni make ya kwamba anamchukia mama yangu na ndugu zangu sababu sisi ni wa binafsi na hatumpendi sababu Huwa hawampigii simu mara kwa mara
Sijamaliza kuusoma uzi wako nimefikia hapo. Ushauri wangu PIGA CHINI HIYO UMBWA
 
......Kila ugomvi ikitokea anadai anataka kuondoka lakini nikikubaliana na maamuzi yake anawapigia simu ndugu zangu na ndugu zake kwamba nataka kumfukuza......

Mwanamke ni kama jini hajulikani anataka nini
 
Unasubiri noninkutimua?
 
Wanawake wa siku hizi ni kama chura. Chura haeleweki amekaa, amesimaa au amelala. Jitu linasema tuachane. Unalikubalia linakugeuzia kibao tena wewe ndio unalifukuza. Wa nn sasa huyo tumua mzee
 
I went to Google herpes simplex🥺 una moyo aiseee🙌
 
Ulimtoa jf? Maana imeonyesha wanawake wa humu hawastahili ndoa na hata wakiolewa ndoa husumbua
 
Naomba kuelezew kuhusu huo ugojwa na mtu yoyte anaeweza kuuelezea hapa.

Mtoa mada ww ni takataka, nyie ndo mnasababisha wanawake watake 50/50
 
Huyo atakuletea ukimwi.. Ukiona mwanamke ana wivu saana jua ana mtu nje.. Sasa hyo njia ni kujihami tuu
 
Bado homa ya ini na VVU nimepitia nyuzi tyari we ni mjinga tu
 
Wakuuu Asanteni sana kwa mawazo yenu yote

Leo ngoja niwape mrejesho kwenye maamuzi niliyofikia

Tulikaa kikao na mke wangu kwa ajili ya kufanya maridhoani. Nankukumbushana wajibu wetu katika familia.

Tulikaa kama wiki tatu tu then nikagundua ana urafiki wa Karibu sana na rafiki yangu wa Karibu ndipo nikaanza kufanya shanting nijue ni mahusiano ya namna gani. Baada ya wiki moja nikagundua Wana mawasiliano ya kimapenzi

Nikamuuliza mke wangu akakataaa katukatu
Then nikamuuliza rafiki yangu akasema walikuwa wanachat kiutani.

Kusema niliumia sana kutokana na Yale niliyoyaona

Nilirudi kwa mke wangu tukagombana sana kuhusu Lile swala

Baada ya hapo niliamua kusahau Kila kitu sababu alikiri haitajirudia tena na pia tuna bond ya mtoto

Tulikaaa wiki moja tu akaniomba pesa ya mafuta na kusuka. Kiukweli nilishangaa sana sababu ni matumizi makubwa sana ambayo hakuwa nayo mwanzoni

Nilimpatia 40000 then nikamwambia nitampatia baada ya siku moja

Hapo ugomvi ulikuwa mkubwa saba sababu alitaka Hela yote,tena aliongea maneno mengi sana ya kunikasfu.

Baada ya hapo tulimalizana kimjini mjini
Japo Bado ananisimbua
 
Unaweza kuukimbia UKIMWI weeeeee halafu ukaupata kizembe kwenye ndoa, kwa kujidanganya kuwa ulikuwa unakimbia zinaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…