Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,723
- 7,794
Ni kweli uliyosema.Huyo mwanamke sio mwaminifu kwako, anahisi anayoyafanya yeye wewe pia unayafanya ndio maana anakufatilia sana.
Kama huzini na wanawake wengine na una uhakika yeye ndio anakuambikiza hayo magonjwa endelea tu kukaa nae unachokitafuta utakipata.
factUkiona mtu anakuwa na wivu sana, jiulize...hata yeye sio mwaminifu!
Vyema.Sikiliza nikuambie, Watu Wabaya Huwa wanakawaida ya kujificha kwenye mavazi meupe.
Mkeo Kujifanya Kila Mara anakufatilia, analiaa, anakuambia naondoka, na mablaa blaaa mengi, ni mbinu ya wewe umuone yeye Malaika, ili utumie muda wako mwingi kua unajielezea kwake, na usitake kumfatilia.
Wewe ni Mjinga sana japo unataka uambiwe, 'Una akili', ila wewe ni mjinga sana ,mjinga na Tahira !!.
Meseji imeingia ya kimalaya, ukarudisha simu kimya kimya? Akajua unajua ? Alafu unakaa kimya?? Unakula Chakula anachopika?? Unakunywa chai yake ??
Hivi wanaume wengine mkoje ??
aiseee, ulishindwa kukiwasha palepale , Tena unashahidi wa meseji?? Wacha yeye anayesadiki, unameseji, alafu unashindwa kukiwasha ??.
Sasa nakuambia hiyo shida ya HSV Huwa inaendana na HIV , utachagua mwenyewe ,utakuta uishi na ipi !!.
Mjinga Mmoja wee, Ndivo ulifunzwa kwamba, ukiwa Jentomeni , ni kukaa kimya,, Nilitegemea unakuja kutusimulia JF juu ya hatua ulochukua haraka haraka, ili kuzuia Hatari kabla haijawa kubwa,,,,, Weee unaleta Blaaa blaaaaa .
We jamaa mbona umekuja na mzuka hivyo....Sikiliza nikuambie, Watu Wabaya Huwa wanakawaida ya kujificha kwenye mavazi meupe.
Mkeo Kujifanya Kila Mara anakufatilia, analiaa, anakuambia naondoka, na mablaa blaaa mengi, ni mbinu ya wewe umuone yeye Malaika, ili utumie muda wako mwingi kua unajielezea kwake, na usitake kumfatilia.
Wewe ni Mjinga sana japo unataka uambiwe, 'Una akili', ila wewe ni mjinga sana ,mjinga na Tahira !!.
Meseji imeingia ya kimalaya, ukarudisha simu kimya kimya? Akajua unajua ? Alafu unakaa kimya?? Unakula Chakula anachopika?? Unakunywa chai yake ??
Hivi wanaume wengine mkoje ??
aiseee, ulishindwa kukiwasha palepale , Tena unashahidi wa meseji?? Wacha yeye anayesadiki, unameseji, alafu unashindwa kukiwasha ??.
Sasa nakuambia hiyo shida ya HSV Huwa inaendana na HIV , utachagua mwenyewe ,unataka uishi na ipi !!.
Mjinga Mmoja wee, Ndivo ulifunzwa kwamba, ukiwa Jentomeni , ni kukaa kimya,, Nilitegemea unakuja kutusimulia JF juu ya hatua ulochukua haraka haraka, ili kuzuia Hatari kabla haijawa kubwa,,,,, Weee unaleta Blaaa blaaaaa .
yaan Wanaume mnaopata Wanawake Kwa bahati , na wale mnaoepuka Ngono mpaka mtakapooa, Huwa mna Matatizo sana !.
Una Ushahidi wa Meseji kua analiwa muda mrefuuu.
una Gonjwa unaishi nalo !!.
Bado tuuu umekomaaa
Jamaan Huwa nakerwa na type hizi za wanaume wenzangu wanolia Lia Lia humu JF nakuomba ushauri hata Kwa mambo ambayo alitakiwa atuelezee hatua alizofanyaWe jamaa mbona umekuja na mzuka hivyo....
Heri hao wote kuliko baraza la madiwani kmmm...k...Unaishi na FBI,sungusungu,mgambo na baraza la madiwani nyumbani kwako.
Duuuh kwa comment hiii anaweza kutafuta kamba.Sikiliza nikuambie, Watu Wabaya Huwa wanakawaida ya kujificha kwenye mavazi meupe.
Mkeo Kujifanya Kila Mara anakufatilia, analiaa, anakuambia naondoka, na mablaa blaaa mengi, ni mbinu ya wewe umuone yeye Malaika, ili utumie muda wako mwingi kua unajielezea kwake, na usitake kumfatilia.
Wewe ni Mjinga sana japo unataka uambiwe, 'Una akili', ila wewe ni mjinga sana ,mjinga na Tahira !!.
Meseji imeingia ya kimalaya, ukarudisha simu kimya kimya? Akajua unajua ? Alafu unakaa kimya?? Unakula Chakula anachopika?? Unakunywa chai yake ??
Hivi wanaume wengine mkoje ??
aiseee, ulishindwa kukiwasha palepale , Tena unashahidi wa meseji?? Wacha yeye anayesadiki, unameseji, alafu unashindwa kukiwasha ??.
Sasa nakuambia hiyo shida ya HSV Huwa inaendana na HIV , utachagua mwenyewe ,unataka uishi na ipi !!.
Mjinga Mmoja wee, Ndivo ulifunzwa kwamba, ukiwa Jentomeni , ni kukaa kimya,, Nilitegemea unakuja kutusimulia JF juu ya hatua ulochukua haraka haraka, ili kuzuia Hatari kabla haijawa kubwa,,,,, Weee unaleta Blaaa blaaaaa .
yaan Wanaume mnaopata Wanawake Kwa bahati , na wale mnaoepuka Ngono mpaka mtakapooa, Huwa mna Matatizo sana !.
Una Ushahidi wa Meseji kua analiwa muda mrefuuu.
una Gonjwa unaishi nalo !!.
Bado tuuu umekomaaa
Ni hatari sna mwanaume kuongozwa na hisia kuliko akil na utashi mkuu .Jamaan Huwa nakerwa na type hizi za wanaume wenzangu wanolia Lia Lia humu JF nakuomba ushauri hata Kwa mambo ambayo alitakiwa atuelezee hatua alizofanya
Weee mtu anasema "Nimekaa kimya, Kwa Sasa sitaki ajue ".
Mwanamke akikukosea ,hata kama unampenda, HAKIKISHA AMEJUA KOSA LAKE, ALAFU MTESE SANA KIHISIA , AWE NA WASIWASI NA MAAMUZI UNAVYOTAKA KUCHUKUA.
utaona mwenyewe, anafanya uamuzi!!.
Hapo ni changamoto maana naona kuna issues nyingi sana.
1. Umeongelea kuwa anahisi ndugu zako hawampendi au kumthamini.
2. Umezungumzia yeye kutamka kuwa hawapendi ndugu zako.
3. Umezungumzia kuwa yeye anakutuhumu wewe kuwa na mahusiano na mahawara nje yenu.
4. Umezungumzia yeye kukufuatilia kwa kukuspy simu yako na hata kuweka wapelelezi wa kukufuatilia nyendo zako.
5. Umeongelea swala ya yeye kuwa na mahusiano nje na mtu ambaye haukudhania kuwa anafanya.
Mimi naona mambo yafuatayo:
Huyo mwanamke wako atakuwa na psychological issues ambazo akipata wataalamu wa afya ya akili wakikaa nae chini na kumpatia ushauri nasaha ataweza kurudia kuwa sawa.
Hili jambo inabidi liwe mandatory sana miaka hii especially kwa Vijana na mabinti wanaoingia katika mahusiano ya Ndoa kuanzia umri wa miaka 25 and above kwasababu ukiachia maswala ya trauma za kifamilia walipotokea wanakuwa na changamoto za kimahusiano sababu ya kujihusisha na watu wengi ndani ya muda mfupi na hii huwatoa katika ramani ya mahusiano bora sababu ya kuwa na X factors issues na kuja nazo katika mahusiano mapya.
Kwa namna mkeo umemuelezea mimi naweza kubashiri kuwa hakupata upendo ngazi ya familia yake au alidekezwa sana na imemuharibu akili kiasi kwamba analazimika kulazimisha kupendwa kwa ndugu zako na wewe pia.
Mtu wa namna hii anatakiwa kufanyiwa therapy ya tabia ili aweze kujitambua na mapungufu yake na kujirekebisha. Akifika na hii hali kuanzia umri wa miaka 35 kwenda juu itakuwa mtihani sana kumsaidia kutoka hapo alipo.
Unaona anavyolazimisha familia yako impe attention kwa nguvu?
Unaona anavyolazimisha wewe uwe wake tu yaani masaa 24 ya siku zote 365 za mwaka, ni mwendawazimu tu ndie atawaza hivi.
Unaona namna haridhiki na attention anakwenda tafuta mtu nje wa kumpa attention si kwasababu hakupendi au anataka kitu kingine nje ni ile kupewa attention na kufanyiwa yale anataka mwilini mwake.
Na pengine wewe unasema ni mtu m'moja si ajabu ameshalala na wanaume tofauti zaidi ya 10 au 20 for the sake of attention kisha akawapotezea ikibidi kuwablock ili wasimpate tena na inawezekana ana namba zaidi ya moja ambayo hiyo namba usiyoijua yeye ndie huitumia kuwasiliana na wale wanaomng'ang'ania ila wale ambao wastaarabu ndio kama huyo anaewasiliana nae kwa namna hiyo unayoijua.
So ushauri wangu, keti nae chini mwambie kuwa kuna changamoto unayoiona kwake na inaleta matokeo mabaya sana kwenu na itawapa mwisho mbaya kama mtaendelea kuilea hiyo changamoto. 3
[emoji478][emoji478][emoji478][emoji478] ila kama ni reality wewe ni mwanaume bwege sana.Habari jf
Moja kwa Moja nije kwenye mada yangu. Nina ishi na huyu mwanamke tangu 2020 na tumejaaliwa kupata mtoto Mmoja japo hatujafunga ndoa lakini nililipia mahari
Amekuwa na wivu sana kuhusu Mimi lakini kwangu sio shida maana ilikuwa hainipi shida lakini baadae alianza hadi kutuma boda boda inifatilie kwenye mishe zangu kama ningukuwa nafanya mambo ya kihuni.
Mara kadhaa amekuwa akinishutumu na mahusiano na wafanyakazi wenzangu kazini ( yeye alimaliza chuo hajapata ajira) nikahisi labda Yuko loose nikaamua kumfungulia biashara
Imefika pahala alinitamkia Toka mdomoni make ya kwamba anamchukia mama yangu na ndugu zangu sababu sisi ni wa binafsi na hatumpendi sababu Huwa hawampigii simu mara kwa mara
Mwaka huu February niligundua kama simu yangu imedukuliwa ndo nikaenda kwa fundi nikagundua kama yeye ndo alifanya hivyo nikamwomba atoe lakini alibisha kuwa hajafanya.
Ukiachana na hayo yote Kila ugomvi ikitokea anadai anataka kuondoka lakini nikikubaliana na maamuzi yake anawapigia simu ndugu zangu na ndugu zake kwamba nataka kumfukuza so Huwa nashindwa kuelewa anataka nini. Yeye always ni vita juu ya wanawake wenzake japo kuwa hajawahi nifumania Wala kunikuta na mwanamke kwenye simu yangu.huwa anakisia anaponiona nawasiliana na mwanamke yeyote
Wiki iliyopita niliazika simu yake niwekee wi-fi kwenye tv ndipo ikaingia SMS ambayo ilinistua ikabdii nifuatilie nikaona ana mawasiliano ya kimapenzi nawanamme mwingine kwa muda mrefu ndipo nikaanza kuunganisha dots. Nimekuwa nikipata ugonjwa unaitwa herpes simplex kwa muda mrefu sana ikafika pahala Kila tukifanya mapenzi lazma nipake dawa huku yeye akinirushia maneno ya kwamba huu ugonjwa ninautoa nje namletea. Lakini nisipofanya mapenzi nilikuwa siupati nakuwa sawaaa kabisaaa. Ikafika pahala nikawa sipati hata hamu nae sababu ya kufu ya huu ugonjwa
Tangu nigundue sijamwuliza lolote lakini amejishtukia anahisi Kuna kitu nimegundua japo sipendi ajue kwa Sasa.
Mwenye uzoefu na changamoto kama hii anipe ushauri tafadhari
Hatari sanaNi hatari sna mwanaume kuongozwa na hisia kuliko akil na utashi mkuu .
Damn brother, you spoke the whole truth. Amen to what u just said here.Sikiliza nikuambie, Watu Wabaya Huwa wanakawaida ya kujificha kwenye mavazi meupe.
Mkeo Kujifanya Kila Mara anakufatilia, analiaa, anakuambia naondoka, na mablaa blaaa mengi, ni mbinu ya wewe umuone yeye Malaika, ili utumie muda wako mwingi kua unajielezea kwake, na usitake kumfatilia.
Wewe ni Mjinga sana japo unataka uambiwe, 'Una akili', ila wewe ni mjinga sana ,mjinga na Tahira !!.
Meseji imeingia ya kimalaya, ukarudisha simu kimya kimya? Akajua unajua ? Alafu unakaa kimya?? Unakula Chakula anachopika?? Unakunywa chai yake ??
Hivi wanaume wengine mkoje ??
aiseee, ulishindwa kukiwasha palepale , Tena unashahidi wa meseji?? Wacha yeye anayesadiki, unameseji, alafu unashindwa kukiwasha ??.
Sasa nakuambia hiyo shida ya HSV Huwa inaendana na HIV , utachagua mwenyewe ,unataka uishi na ipi !!.
Mjinga Mmoja wee, Ndivo ulifunzwa kwamba, ukiwa Jentomeni , ni kukaa kimya,, Nilitegemea unakuja kutusimulia JF juu ya hatua ulochukua haraka haraka, ili kuzuia Hatari kabla haijawa kubwa,,,,, Weee unaleta Blaaa blaaaaa .
yaan Wanaume mnaopata Wanawake Kwa bahati , na wale mnaoepuka Ngono mpaka mtakapooa, Huwa mna Matatizo sana !.
Una Ushahidi wa Meseji kua analiwa muda mrefuuu.
una Gonjwa unaishi nalo !!.
Bado tuuu umekomaaa
.......hivi ni hatari sana kuwa na mwanamke ambae ni memba humu??!!......Mkuu hebu chunguza cm ya mkeo ukiona ana app ya Jf umeisha,