G g4cool JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 431 Reaction score 211 Mar 28, 2013 #1 Wakuu nataka kununua simu ya huawei u8655-1, inayotumia android, so kama kuna yeyote mwenye uzoefu na simu hizo anaweza kushea na mimi kabda cjainunua
Wakuu nataka kununua simu ya huawei u8655-1, inayotumia android, so kama kuna yeyote mwenye uzoefu na simu hizo anaweza kushea na mimi kabda cjainunua
W Walas Ba JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 3,399 Reaction score 1,746 Mar 28, 2013 #2 hi phne ninachoipendea ni kidogo ram,na rom zake ni kubwa ukilinganisha na huawei u8185 au huawei ascend y100, Ambapo hyo unayotaka nunua ina Internal 256 MB RAM, 512 MB ROM
hi phne ninachoipendea ni kidogo ram,na rom zake ni kubwa ukilinganisha na huawei u8185 au huawei ascend y100, Ambapo hyo unayotaka nunua ina Internal 256 MB RAM, 512 MB ROM
G g4cool JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 431 Reaction score 211 Mar 28, 2013 Thread starter #3 ila mambo mengine iko poa?? vip kuhusu apps?? unaweza kudowload za kutosha??
G g4cool JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 431 Reaction score 211 Mar 29, 2013 Thread starter #4 mh!mmmmmmh