Dada kaumbika vizuri mno, ila sidhani kama watu wamekuelewa uliposema mimba, strategy nzuri sana ya kukwepa jela..Bora hata sijawa Hakimu au Jaji kwani kwa jinsi ninavyojijua nilivyo na kwa Urembo wa huyo Dada hiyo Kesi ningeshaifutilia mbali zamani sana na pengine hata huyo Dada sasa angekuwa Mke wangu wa Saba ( 7 ) na Mimba tayari nikiwa nimeshampachika tena ya Mapacha Watano.
manka huyoDada kaumbika vizuri mno, ila sidhani kama watu wamekuelewa uliposema mimba, strategy nzuri sana ya kukwepa jela..
kisa tu anaitwa JENIFA MREMA
Wapare siyo wa mchezo mchezo kwenye pesa, ulizia utaambiwa..manka huyo
Kaajiriwa TRA, mishahara yao ni ina range 2m-3m kwa mwezi, ukitoa matumizi ya mwezi ya kula, nguo, pango, fuel, luku, maji, misc wabakiwa labda na 1m, hapo kama huna watoto, kama unao, wabakiwa na ndogo zaidi, sasa ndio kujiuliza magari 19 na hiyo nyumba aliyojenga amewezaje?! tena anaonekana kijana tu, sidhani kama ana zaidi ya 10 yrs TRA, jibu ni wizi, uwe ulaya, marekani au asia, dola huwa zinachunguza vipato vya watu..Tanzania kuna vituko eti mtu anashitakiwa kwa kumiliki Magari kumi na tisa tena Toyota tupu na kuishi maisha ya juu tofauti na mshahara wake. Yule ni mwanamke kuishi maisha ya juu huenda ana tumia part time yake vizuri au kwao zipo kwanini asiishi vizuri. Na hayo magari angalau ingekuwemo Range, V8, Land cruiser, Hammer, Posh na ndinga nyingine kali. Swali Mshahara wanapanga wao na matumizi apange nani?
Kwahiyo kwa mshahara huo alitakiwa amiliki vitu kiasi gani na aishi maisha ya gharama gani? na je? angeamua kuweka mali zake katika majina tofauti ingekuwaje. Kama aliuza mali yake au mali ya urithi hiyo ni nje na kazi yake itakuaje? je? kama alivuta mkopo napo itakuwaje. Angalia thamani ya magari yote haya fiki hata bei ya Ndinga za maana.Kaajiriwa TRA, mishahara yao ni ina range 2m-3m kwa mwezi, ukitoa matumizi ya mwezi ya kula, nguo, pango, fuel, luku, maji, misc wabakiwa labda na 1m, hapo kama huna watoto, kama unao, wabakiwa na ndogo zaidi, sasa ndio kujiuliza magari 19 na hiyo nyumba aliyojenga amewezaje?! tena anaonekana kijana tu, sidhani kama ana zaidi ya 10 yrs TRA, jibu ni wizi, uwe ulaya, marekani au asia, dola huwa zinachunguza vipato vya watu..
Hakuna mfanyakazi TRA nanaanza analipwa 2M. Hiyo mishahara ni level za meneja wa wilaya au principal tax officers.Kaajiriwa TRA, mishahara yao ni ina range 2m-3m kwa mwezi, ukitoa matumizi ya mwezi ya kula, nguo, pango, fuel, luku, maji, misc wabakiwa labda na 1m, hapo kama huna watoto, kama unao, wabakiwa na ndogo zaidi, sasa ndio kujiuliza magari 19 na hiyo nyumba aliyojenga amewezaje?! tena anaonekana kijana tu, sidhani kama ana zaidi ya 10 yrs TRA, jibu ni wizi, uwe ulaya, marekani au asia, dola huwa zinachunguza vipato vya watu..
HaikuhusuHaya mambo mengine ni ulimbukeni tu, unanunuaje magari 19 yakutembelea, si bora ukanunue viwanja huko, Sema yawezekana waliokuwa wanampa dili kawanyima papuchi sasa wanamshughulikia
hata kama ana papuch inayomwingizia 4m kwa mwezi?Hakuna mfanyakazi TRA nanaanza analipwa 2M. Hiyo mishahara ni level za meneja wa wilaya au principal tax officers.
Gross ya TRA ni laki 8. Transport & Housing allowance ni 160,000.
Ukiona mtumishi wa TRA anaishi maisha nje ya huo mshahara ujue ni wizi au rushwa.
Watu mna imaginations za ajabu sana kuhusu mishahara ya TRA.
Rudia kusoma mashitaka ya awali ya huyo dada, walitaja na mshahara wake hadi kufikia june 2016 ambao hauzidi 1.2M na ana miaka 7 sasa kazini.
TRA nje ya rushwa ni maisha ni ya kawaida sana.
Lazima aonyeshe ushahidi mahakamani kua papuchi ndio ilikua inamuingizia hicho kipato, kiwe ni kipato halali ambacho kinalipa kodi.hata kama ana papuch inayomwingizia 4m kwa mwezi?