Pamoja na kuusifu ujasiri wa Msemakweli na kumpongeza sponsor wake, ni mahali pamoja tu panaponikatisha tamaa juu yao, hili la kujikomba kwa CCM, sioni kwa nini msemakweli na sponsor wake wanahangaika sana kuonyesha kwamba fedha hiyo haina uhusiano na urais wa Kikwete, hapa nao wanakua kama hao hao wezi, wanabaka demokrasia, ni vizuri kama wanajikomba sana kwa JK, waache watanzania waamue kama hizo hela zilitumika wapi, kama msemakweli ni mkweli na msomi kama ninavyoamini, aache kabisa kukubali kuwa mpumbavu kwa kujiingiza kwenye unafiki wa sponsor wake, tunamjua na huyo sponsor pamoja na kufanyakazi nzuri tunamjua mnafiki kwa kuwa anajikomba kwa CCM tu kwa sababu ya maslahi yake binafsi. Huwezi kuwa popo kwenye ukweli na hiki ndio kina water down arguments nzuri na evidence nzuri za msemakweli. Hivi utasemaje eti hela hazikutumika kwa kuwa tarehe ya kuzihamisha ilikua baada ya uchaguzi? crap stop this rubbish, what is the relationship between tarehe ya uchaguzi na ya kuhamisha hela? hapa mngekazana na nani mwizi na yoyote aliyeshiriki ni culprit, mtatetea lakini tanzania ni ya watanzania wote siku ya siku bila kujali vyeo wala nini watafungwa tu jela watu hawa, hata mkiwauma na kupuliza, kumbuka hamuwezi kupambana na wakina Rostam na Manji mkitegemea eti kumwokoa JK, fanyeni maamuzi magumu kama mnajikomba sana kwa JK waacheni wakina Manji na Rostam wapumzike, hamuwezi kuwagusa hawa na kumponya JK wakati huo huo. neno linasema, mafuta na maji havichanganyiki, giza na mwanga vile vile, poleni sana
Jamani kutokana na wingi wa hizi skendo za serikali yetu kuna wakati nachangayikiwa kujua ipi inahusiana na wapi. Nisaidieni kwa hili tafadhali.
1.Hivi EPA na Kagoda si ndugu hawa!!!
2. Ile tume ya IGP, DCI, PCCB aliyounda Luhanjo ishughulikie EPA, iliwahi kutoa taarifa mahali popote duniani
3. Hii tume iliyoundwa baada ya Msemakweli kusema, ina nguvu gani kisheria na inawajibika kwa nani
Kuna tume nyingine imeundwa?
Kikosi kazi nadhani ni kama tume! Nahisi ni kubadili ladha ya maneno. Hata ile ya Luhanjo ilianza kwa jina hilo njiani tukasikia ni tume. Au nimeelewa tofauti habari iliyopo.SAKATA la Kampuni ya Kagoda iliyokwapua sh bilioni 33 kutoka kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), mali ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limechukua sura mpyaa baada ya ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kuunda kikosi kazi kuchunguza sakata hili
Hakuna lolote la maana hapo. Tume inaundwa na watu toka ofisi ambazo zote hazina crdibility ya kusema ukweli sasa tutarajie nini cha maana? Another "funika kombe mwanaharamu apite"!
ndio haya ya sasa hivi ambapo tumeamua kumtaka DPP afanye kazi yake na siyo tume. Ndio maana utaona kuwa hata ripoti ya hiyo tume haijawahi kuhojiwa na Bunge au kutaka iletwe Bungeni kwa msingi ule ule wa ripoti nyingine ya tume ya Luhanjo inavyotakiwa Bungeni.
Kuna tume nyingine imeundwa?
ha ha ha!Nadhani walioandika wameweka impression isiyo sahihi. Labda ni "sub-committee" ya hiyo kamati ya awali ya Luhanjo.
Pamoja na kuusifu ujasiri wa Msemakweli na kumpongeza sponsor wake, ni mahali pamoja tu panaponikatisha tamaa juu yao, hili la kujikomba kwa CCM, sioni kwa nini msemakweli na sponsor wake wanahangaika sana kuonyesha kwamba fedha hiyo haina uhusiano na urais wa Kikwete, hapa nao wanakua kama hao hao wezi, wanabaka demokrasia, ni vizuri kama wanajikomba sana kwa JK, waache watanzania waamue kama hizo hela zilitumika wapi, kama msemakweli ni mkweli na msomi kama ninavyoamini, aache kabisa kukubali kuwa mpumbavu kwa kujiingiza kwenye unafiki wa sponsor wake, tunamjua na huyo sponsor pamoja na kufanyakazi nzuri tunamjua mnafiki kwa kuwa anajikomba kwa CCM tu kwa sababu ya maslahi yake binafsi. Huwezi kuwa popo kwenye ukweli na hiki ndio kina water down arguments nzuri na evidence nzuri za msemakweli. Hivi utasemaje eti hela hazikutumika kwa kuwa tarehe ya kuzihamisha ilikua baada ya uchaguzi? crap stop this rubbish, what is the relationship between tarehe ya uchaguzi na ya kuhamisha hela? hapa mngekazana na nani mwizi na yoyote aliyeshiriki ni culprit, mtatetea lakini tanzania ni ya watanzania wote siku ya siku bila kujali vyeo wala nini watafungwa tu jela watu hawa, hata mkiwauma na kupuliza, kumbuka hamuwezi kupambana na wakina Rostam na Manji mkitegemea eti kumwokoa JK, fanyeni maamuzi magumu kama mnajikomba sana kwa JK waacheni wakina Manji na Rostam wapumzike, hamuwezi kuwagusa hawa na kumponya JK wakati huo huo. neno linasema, mafuta na maji havichanganyiki, giza na mwanga vile vile, poleni sana
Ina maana kuna watu walimtuma Msemakweli afanye yale aliyoyafanya na wewe ni mmojawapo wa wale waliomtuma...?

Brella ni ya serikali, inachekesha na kuhuzunisha serikali inaposema kuwa haiwafahamu wamiliki wa Kagoda. Hiki ni kielelezo kimoja wapo kati ya vingi kuwa wajanja wachache wameiweka serikali yetu mifukoni mwao.