LiverpoolFC JF-Expert Member Apr 12, 2011 11,348 3,219 May 1, 2011 #1 Ndg zangu wanaJF hakika ushabiki ni hatari kwani nimepata tetesi ya kwamba washbk wameleteana songombingo ya balaa.
Ndg zangu wanaJF hakika ushabiki ni hatari kwani nimepata tetesi ya kwamba washbk wameleteana songombingo ya balaa.
Chimemena JF-Expert Member Feb 25, 2011 1,376 452 May 1, 2011 #2 Ama kweli ukubwa wa kichwa sio ukubwa wa utumbo ulioandika.
LiverpoolFC JF-Expert Member Apr 12, 2011 11,348 3,219 May 1, 2011 Thread starter #3 Puuuuu said: Ama kweli ukubwa wa kichwa sio ukubwa wa utumbo ulioandika. Click to expand... 2rudi nyuma kdg Best! Ni kwmb humo haupo????? Ama cjasomeka?
Puuuuu said: Ama kweli ukubwa wa kichwa sio ukubwa wa utumbo ulioandika. Click to expand... 2rudi nyuma kdg Best! Ni kwmb humo haupo????? Ama cjasomeka?
D dropingcoco Senior Member Jun 21, 2008 124 11 May 1, 2011 #4 liverpoolfc said: 2rudi nyuma kdg Best! Ni kwmb humo haupo????? Ama cjasomeka? Click to expand... anamaanisha umeandika utumbo, ki ufupi hueleweki,toa habari iliyokamilika
liverpoolfc said: 2rudi nyuma kdg Best! Ni kwmb humo haupo????? Ama cjasomeka? Click to expand... anamaanisha umeandika utumbo, ki ufupi hueleweki,toa habari iliyokamilika
LiverpoolFC JF-Expert Member Apr 12, 2011 11,348 3,219 May 1, 2011 Thread starter #5 dropingcoco said: anamaanisha umeandika utumbo, ki ufupi hueleweki,toa habari iliyokamilika Click to expand... Zile tetesi hakika zimekuwa ya kweli ya kuwa wa2 zaidi ya sita waswekwa ndani wakihusishwa na chanzo ya yote.
dropingcoco said: anamaanisha umeandika utumbo, ki ufupi hueleweki,toa habari iliyokamilika Click to expand... Zile tetesi hakika zimekuwa ya kweli ya kuwa wa2 zaidi ya sita waswekwa ndani wakihusishwa na chanzo ya yote.